Search results

  1. Ellyson

    Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Ni sawa sawa tu na walio Katoliki ingawa mapadri wanabaka watoto na wengine wanafanya ushoga lakini waumini bado wanaabudu huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Ellyson

    Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Kumbe ni vita kati ya Katoliki na Walokole!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ellyson

    Nilivyomliza mke wangu kwa siku 366

    Hadithi zako tamu sana bibie. Kama kuna link naomba tafadhali.
  4. Ellyson

    SIMIYU: Naibu Waziri Stella Manyanya amemsimamisha Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Bunamhala

    Mnatoa na kuweka watu wenu kwa kigezo cha kutumbua majipu. Tumewashitua mchezo wenu
  5. Ellyson

    Kusinyaa/Kuziba kwa mrija wa mkojo (Urethral stricture)

    Somo zuri sana. Kwani na mimi ni mmoja wa waathirika.
  6. Ellyson

    Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

    Mwambie akuoe kabisa ili kila siku uwe unamwona
  7. Ellyson

    Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

    Wewe ccm wamekufanyia lipi jema?
  8. Ellyson

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Mwenye akili fupi tu ndo nyeweza kuwaza na kupost pumba hivi. Badala ya kusema watafanya vipi nchi iwe na maendeleo wewe unawaza upumbavu
  9. Ellyson

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Bora kuzungusha mikono ila siyo kuchezewa kiakili hadibunageuka zombie.
  10. Ellyson

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Sijui umeandika kitu gani ewe mdanganyika
  11. Ellyson

    Riwaya: Chokoraa

    Hadithi za mzizi mkavu
  12. Ellyson

    Sorry madam (Destination of my enemies)

    mbona story imeruka sana toka 70 hadi 81?
  13. Ellyson

    Mbowe: Hatutapinga kila jambo, Rais Magufuli anafungwa mikono na Kamati Kuu ya CCM

    Labda tuwaukizeni nyie ccm mliyekaa naye miaka yote
  14. Ellyson

    Sumaye Akosoa Uamuzi Wa Rais Magufuli Kuhusu Wakwepa Kodi

    Sasa mnasubiri nini kuyatumbua?
  15. Ellyson

    CHADEMA hakueleweki. Viongozi wafungiwa milango. Watakiwa kujiuzulu kwa usaliti

    Achana na hilo zombie la ccm lisilojua chochote.
  16. Ellyson

    Kama wana Arusha watamchagua Lema kuwa mbunge nitawaradharau

    Kabla hujawadharau jidharau wewe kwanza kwa sababu hujitambui
  17. Ellyson

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Pole wewe na vizazi vyako. Ndo hivyo tena
Back
Top Bottom