Search results

  1. Mzee Dogo

    Kupotea kwa Roma na dhana ya kuachiwa kwa Nay wa mitego

    Nakumbuka wakati Nay wa mitego amekamatwa alitoa ujumbe kupitia account yake ya instagram akieleza kuwa watu waliomkamata walikuwa wamejitambulisha kama maafisa wa polisi, so jamii ilijua fika kuwa yuko mikononi mwa polisi, nafikiria kwa sauti asingefanya hivyo huenda angepotea pia kama saanane...
  2. Mzee Dogo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu. Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema...
  3. Mzee Dogo

    Msaada kwa mwenye Product Key MS Office 2013

    Tafadhari wadau mwenye Product Key Microsoft Office 2013 naomba msaada..! Thanks in advance
  4. Mzee Dogo

    Live football game online...

    Hello guys, Jamani michezo ya kombe la dunia ndo kufunguliwa leo, natamani sana kuishuhudia but nahisi ratiba yangu itanifanya nishindwe kushuhudia mechi nyingi sana. Please kama kuna mtu anaweza kunisaidia ni jinsi gani naweza kufanya ili niweze kuiangalia online kupitia pc.. Pongezi na...
  5. Mzee Dogo

    Jinsi ya kufanya update bodi ya mikopo elimu ya juu kwa OLAS

    Hi guys.. Naomba kufahamu utaratibu uliowekwa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo, wana-update vip taarifa zao ili kuendelea kupata mkopo kwa mwaka ujao wa masomo? I remember last year kulikuwa na link kwenye olas ila mwaka huu siioni, wameihamisha au imekuwaje?? Msaada...
  6. Mzee Dogo

    Kwako Mheshimiwa S. Sitta

    Kwanza nikupongeze kwa ushindi wa kishindo ulioupata kwa kukalia kiti cha Uenyekiti wa Bunge la Katiba, hii ni ishara kubwa kuwa si tu wabunge bali watanzania wengi wameweka matazamio makubwa kwako kuwa unao uwezo wa kusimamia mchakatoa wa kuwatimizia haja yao ya muda mrefu wa kupata katiba...
  7. Mzee Dogo

    WhatsApp setting for PC

    Hello friends, naomba mtu mwenye settings za WhatsApp atuwekee hapa tafadhari nasi tujiachie...!
  8. Mzee Dogo

    Kwa katiba hii basi mbunge wangu hana sifa kurudi bungeni!

    Vipo vitu vichache ambavo sijavipenda katika rasimu ya pili ya katiba mpya lakini kwa zaidi ya 75% iko vizuri, moja kati ya vitu nilivyovipenda ni kwamba kama ikipita basi angalau tunaweza kupata watunga sheria wanaojua angalau ni nini wanachokifanya kwa kuangalia kigezo cha elimu pale inaposema...
  9. Mzee Dogo

    Tatizo la doc kuwa shortcut!

    Hello friends, naombeni msaada please, pc yangu nahisi imevamiwa na wadudu coz nikiingiza flash tu lazima files za kwenye flash ziwe shortcut, natumia window 8 so kuna window defender na nimejaribu kuupdate na kuscan several times but hakuna mafanikio. Msaada please, nifanyaje!
  10. Mzee Dogo

    Blackberry wireless!

    Hello friends, wataalam naombeni msaada wa kuifanya simu ya blackberry curve iweze kutumika kama wireless provider. Much thanx!
  11. Mzee Dogo

    Microphones

    Jamani ushauri, what is the best wireless microphones ambazo zinaweza kutumika umbali mrefu na bado kumaintain ubora wake? With specifications please...
  12. Mzee Dogo

    DIT, Mbeya, Arusha Tech, WDMI

    Kwa yoyote ambaye amechaguliwa katika chuo mojawapo kati ya vyuo hivi naomba kufahamu...
  13. Mzee Dogo

    Natafuta kitabu chochote kilichoandikwa na J. M. Kikwete

    Binafsi ni msomaji mzuri wa vitabu, kupitia vitabu nimejifunza mengi sana kuhusiana na mitazamo ya waandishi, nimeshawishika kutafuta kitabu chochote kile ambacho kimeandikwa na mpendwa rais wetu (JMK) ili niweze kujua mitazamo yake kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoisibu jamii ya watanzania...
  14. Mzee Dogo

    Bodi ya Mkopo

    Big thanx kwa TCU kwa kutujuza wapi tumedahiliwa, and now macho na masikio yetu yanaelekea heslb ili tujue kama hizo kozi tutazimudu ama la, mwenye taarifa zozote juu ya hawa jamaa lini wanaweka mambo hadharani please atujuze--
  15. Mzee Dogo

    Ubuntu VS Windows

    Habari wakuu, Ninaomba kufahamu faida za ubuntu dhidi Windows zetu; nasikia iko more secured na vingine vingi, naomba kupata ukweli juu ya hili kutoka kwenu wanazuoni.
  16. Mzee Dogo

    The Best Comedy & Action Movies

    Habari wadau!! Mwenye kufahamu majina ya movies za ukweli za Comedy ama Action alete majina hapa ili nizishushe tayari kwa kufurahia weekend. Natanguliza Big Up.
  17. Mzee Dogo

    Msaada wa kuuninstall utorrent kwenye laptop yangu

    Najaribu kuuninstall kwa njia za kawaida through; control panel>utorrent>uninstall but haikubali. Naomba msaada wakuu..
  18. Mzee Dogo

    Natafuta Mrembo wa kiarabu

    aliye tayari tuwasilkiane kwa e- mail adriano.cole55@yahoo.com
  19. Mzee Dogo

    Serikali ya Uingereza kuvunja uhusiano na Tanzania

    Baada ya waziri wa mambo ya nje wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitolea maneno ya dharau na shutuma nchi ya uingereza juu ya sakati la fedha za rejesho la rada, nchi hiyo inajiandaa kujibu mashambulizi kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kufunga ofisi zake nchini humo. Kazi kwenu watz!
  20. Mzee Dogo

    Elections 2010 Vigelegele wakati wa kupitisha bajeti ya serikali

    Kama mtanzania, ninapitia bajeti ya serikali yetu na ninaona ina mapungufu mengi na ya msingi, nashangaa kuona wabunge 81 tu ndio walioweza kuona mapungufu hayo na kuipinga, wabunge 234 wamepitisha mapungufu hayo tena kwa kupiga vigelegele na kuzomea wale walioipinga. Inasikitisha, lakini ndo...
Back
Top Bottom