Search results

  1. J

    Uchaguzi Umeisha! Sasa ni makali ya Mgao wa Umeme KULIKONI?

    Yani hadi machozi yananitoka tanzania .inapoelekea,ndo maana nchi zingine wanawatanguliza mbele ya haki mapemaaaa viongozi mataputapu kama jk.hv haoni huu uozo? Rais gani hata hagombi jamani au ndo hao mawaziri wake wamempa limbwata? Aibu gani tanzania hii miji giza tupu.jamani huyu mkwere...
  2. J

    Je ni kweli ajira ni za kugawana kindugu au kwa kutoa pesa?

    Mwenzangu mie nlifanya interview tangu mwezi wa tatu vice president office sa cjui majibu vp.nimefatilia magezeti cjaona kama wametangazo au ndo kimya kimya.nakwambia bongo ajira umshirikishe Mungu wako.
  3. J

    Dar kupata mkuu wa mkoa mpya?

    Huyo batilda buriani jamani mi sioni kazi aliyofanya sema kikwete nae too much kiupaumbele kwa madem wengine hata bongo za zimeganda but anawaweka tu cjui walikuwa madem zake zamani ananikera huyo mkwere
  4. J

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Nyie mie mwenzenu mambo ya kutangazwa mawaziri wala hayaniingii akilini sina kazi na degree ya sheria njaa kali nina mawazo heri hao mawaziri watoto wao wana uhakika wa life.by the way hongera kikwete na familia yako
  5. J

    Project Officer (Advocacy and Networking)

    Jamani hivi ndo kawaida ya serika kuchelewa kutoa majibu ya usahili? Mie nlifanya interview tangu mwezi wa tatu hadi leo sijaona majibu kwenye gazeti na nimefatili lakini wapi majibu bado ni ofisi ya makamu wa rais.kama kuna mwenye fununu kuwa yalishatoka anitonye jamani
  6. J

    Vacancies-university of dar es salaam

    Mbona hyo attachment haina kitu? Tuma tena mtu wangu watu tunahtaji job
Back
Top Bottom