Search results

  1. nsharighe

    Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

    Kwenye Kamati Kuu jina lililopendekezwa lilikia na Charamila lakini Mh Rais akaja na jina ambalo hakuna alietegemea ni Makonda, na wengi walipinga mpaka Mh Rais alipotaka watu wapigwe kura za wazi ndipo Makonda akaibuka kidedea kwa Kuta Moja zaidi
  2. nsharighe

    Msimamo wa Tanzania kuhusiana na Urithi wa Dunia huko Riyadh - Saudi Arabia

    Waziri wa Zanzibar aseme ya Zanzibar sio ya kwetu
  3. nsharighe

    UZUSHI Mkoa wa Njombe una kijiji kinachomilikiwa na aliyekuwa Malkia II wa Uingereza

    Ndio Chai wanayokunywa loyal Family inatoka hapo, unaambiwa ni grade 1 tea
  4. nsharighe

    Baisaa Ya Oman

    Kwa uzoefu wangu, nibela ya Oman ndio Huwa inakubaliwa Burue de Change
  5. nsharighe

    Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

    Litakua la 1108
  6. nsharighe

    Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Kumbe dhamana hata weekend unapata!? Police vueni gwanda mpande jukwaani Kama mnataka kuwa wanaSiasa
  7. nsharighe

    Kwanini Marais wengi wa barani Afrika hupenda kulindwa na watu watokao kwao au hata ndugu zao?

    Kwaiyo mkuu Wajomba zake ni wale ma Detail leader au yule mkuu wa Kitengo?? Nataka kuelewa maana Kuna Rais Comoro Kama anakuja kuja
  8. nsharighe

    Ukweli kuhusu TPA kutangaza tenda ya kuendesha Gati No. 8-11 Bandarini

    Serikali yetu imekua Kama kikundi cha ngoma
  9. nsharighe

    UZUSHI Naibu Waziri Mkuu amewekwa ili kuzuia kuvunjwa Baraza la Mawaziri

    Naomba kuelewa uliposema vyei hivi hutokea kwa Rais anopotokea visiwani
  10. nsharighe

    Viongozi wa dini wataka wanaoleta uchochezi wadhibitiwe. Wawataja Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mdude

    Nilidhani Baraaza la Maaskofu, kumbe hao makada
  11. nsharighe

    Ili linaenda ndivyo sivyo sasa kilichopandisha Bei ya BIA ni kitu gani?kila MTU anajiamulia anavyotaka Tu taifa linaenda ovyo Sana!

    Waache upumbavu japo hata ikiuzwa 3000 tutakunywa tu.. Na nyie msiokunywa Bia mnakunywa Nini? Au mnakunywa Sumu??
  12. nsharighe

    Ili linaenda ndivyo sivyo sasa kilichopandisha Bei ya BIA ni kitu gani?kila MTU anajiamulia anavyotaka Tu taifa linaenda ovyo Sana!

    Waache upumbavu japo hata ikiuzwa 3000 tutakunywa tu.. Na nyie msiokunywa Bia mnakunywa Nini? Au mnakunywa Sumu??
  13. nsharighe

    Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

    Ina make sense
  14. nsharighe

    Mwekezaji ndio anaamua awekeze Bara au Zanzibar na sio Serikali ya Tanzania

    Mtoa Mada, itoshe kusema Akili huna
Back
Top Bottom