Search results

  1. Upepo wa Pesa

    Bora DP World wasingepewa bandari! Inachukua zaidi ya mwezi kupata mzigo bandarini

    Nimezoea kabla ya DP World kupewa bandari ilikua inachukua walau siku7 mpaka mzigo wako unatoka bandarini ila kwa sasa meli ikiingia bandarini basi hesabu mwezi mmoja au zaidi ndio mzigo wako unaupata! Hali ni mbaya! Je hawa ndio DP World tuliokua tunaambiwa watafanya bandari yetu iwe ya...
  2. Upepo wa Pesa

    Naomba kuelimishwa kuhusu "Holding Company" na "Subsidiary company"

    1. Holding company ina faida gani ukilinganisha na kampuni za kawaida? 2. Je subsidiary company inaweza milikiwa 100% na holding company moja? 3. Kama holding company ina kampuni 10 je kila kampuni ita file annual returns kivyake au annual return itafanywa na holding company pekee? Naomba...
  3. Upepo wa Pesa

    Bandari imemshinda rais akapewa mwarabu, je na umeme nao umemshinda?

    Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao! TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu kuna mgao tena mkali! Sasa nashindwa elewa je swala la umeme limemshinda rais kama ilivyomshinda...
  4. Upepo wa Pesa

    Wazo la leo: Kuna uwezekano mkubwa mtoto wa kwanza sio wako

    Kuna asilimia zaidi ya 90 kwamba mtoto wa kwanza sio wako. Sijui kama utanielewa lakini acha nikueleweshe.. Mwanamke anapofika miaka 25 kwenda juu huwa anatamani sana ndoa. Unaweza ukawa una date nae kumbe mko kama wanne hivi na muda huo huo analala na nyie wote. Sasa anachofanya anaangalia...
  5. Upepo wa Pesa

    Siamini kama bwawa la "stigler gorge" litamaliza tatizo la mgao wa umeme nchini

    Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini. Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme umepungua kwasababu mvua zimepungua hivyo tujiandae kwa mgao. Swali la kujiuliza ni hili.. Kwa...
  6. Upepo wa Pesa

    Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

    Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya. Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani...
  7. Upepo wa Pesa

    Je serikali imewahi kuwekeza bajeti ya shilingi ngapi kwenye tafiti?

    Namekua nikijiuliza! Mataifa yooote unayoona yameendelea au yanaendelea duniani basi yana sifa moja ambayo ni common, kuwekeza kwenye tafiti! Je Tanzania mpaka sasa tumeshawekeza kiasi gani kwenye tafiti?
  8. Upepo wa Pesa

    Wazo la leo: Hawa viumbe hawapendani wanaweza kuuana wakipata nafasi.

    Ni kawaida kuwaona wakiita besti, mara rafiki mara shosti nk nk huku wakienda mbele zaidi na kupiga picha wakiwa wamebinua makalio na kuweka instagram. ILA.. Deep down wanajua kabisa hawapendani, wanaweza hata kuuana ikibidi. Yaani chukua paka na panya uwafungie ndani ya chumba kimoja...
  9. Upepo wa Pesa

    Tumewapa Waarabu bandari lakini bado mizigo inachelewa! Tunakwama wapi?

    Meli imeingia bandarini tarehe 2/13/2023 na mpaka leo bado mizigo haishushwa. Ni karibu wiki sasa mambo hayaeleweki! Je, nani katuloga watanzania? Je waarabu nao wameshindwa kazi kama serikali ilivyoshindwa kuisimamia bandari?
  10. Upepo wa Pesa

    Vidaka sauti vyakutwa kwenye ofisi ya mkuu wa majeshi Ukraine.

    Kuna moto unafuka kwenye top layer ya Ukraine. Taarifa zinasema Zelensky na timu yake wamemuwekea! Ifahamike Zelensky na Zaluzny hawapatani kwa sasa. Acha tuone huu mtanange utafika wapi. Soma zaidi: https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2153352/
  11. Upepo wa Pesa

    Wazo la leo: Mwanamke akijua kipato chako halisi umekwisha!

    Hii ina apply kwa 99% ya wanawake hasa wa hizi nchi za dunia ya tatu. Mfano umepata milioni 1 na unataka kununua kitu flani kwa ajili ya biashara. Alafu muda huo huo mke/demu/mchumba wako anakwambia anataka umnunulie iphone mpya. Wewe kama 'kichwa cha familia' unaona kabisa kutumia hii 1mil...
  12. Upepo wa Pesa

    Tafakuri ya leo: Hupendwi, mwanamke yuko na wewe kwa sababu kuna kitu anapata/anatarajia

    Mwanamke anayekupenda kwa dhati ni mama yako tu. Hawa wengine wako na sisi kwa sababu kuna kitu wanapata au wanatarajia. Ukitaka kuamini ngoja itokee hicho kitu usiwe na uwezo wa kumpa ndio utaamini. Sijui umenielewa?
  13. Upepo wa Pesa

    Putin atua Saudi Arabia, aongozwa na ndege 6 za kijeshi

    Kuna wale watu wa upinde walisema Putin akitoka nje ya Urusi atakamatwa, sasa nashindwa kuelewa jamaa katoka je atakamatwa lini? Russian President Vladimir Putin, staking out a more influential role in the Middle East, will visit the United Arab Emirates and Saudi Arabia on Wednesday, and host...
  14. Upepo wa Pesa

    Usalama wa Taifa, ni kwanini mpaka leo sabuni ya jamaa imeshika soko Tanzania?

    Kuna kitu huwa najifunza kwa wenzetu hasa wachina, vyombo vyao vya usalama moja kati ya kazi wanazifanya "wizi wa teknolojia" kutoka kwa mataifa mengine! Lakini hapa kwetu naona nintofauti kidogo, je ni kwanini bidhaa za Kenya zina dominate soko letu na sisi tupo tu? Ukienda dukani sabuni...
  15. Upepo wa Pesa

    Zelensky kumtimua Mkuu wa Majeshi baada ya counter offensive kufeli!

    Baada ya kaunta ofensivu ichwara kufeli vibaya mno sasa zelensky kamgeukia mkuu wa majeshi! Inasemekana Zalusni alikua hataki kabisa kaunta ofensivu ianze kipindi hiki ila zelensky kwa kufwata oda ya mabwana zake akafosi ianze! Baada ya matokeo mabovu sasa mkuu wa majeshi kuonyeshwa mlango wa...
  16. Upepo wa Pesa

    Hii post ya Elon Musk ina maana gani kwa Ukraine?

    Unajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani! Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine. Je kwa post hii ina maana ameanza kuwachoka omba omba Ukraine na zelensky...
  17. Upepo wa Pesa

    Hata bwawa likikamilika mgao utabaki pale pale. Tusijifariji

    Kuna huwa nawaza nakosa jibu. Kila umeme ukisumbua tunasema mvua za shida na mabwawa hayana maji. Tunajua hili bwawa litatumia maji tena haya haya ya mvua JE likikamilika hatutakua na mgao mvua zikipungua?
  18. Upepo wa Pesa

    Poland imesitisha misaada ya silaha kwa Ukraine! Ukraine yaanza kuchokwa

    Sasa rasmi ukraine yaanza kuchokwa. Poland kasitisha misaada ya silaha kwa ukraine. Naona joto limeanza kupanda muda wowote Ukraine atafosiwa akae mezani na Mrusi vita iishe. Urusi apewe pongezi kwa kuweza kumudu kupigana na mataifa 31 ya NATO pale ukraine! NB: Kuna uwezekano hifadhi ya...
  19. Upepo wa Pesa

    Kwanini Samia hajaenda kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN)?

    Niko nafwatilia speech za viongozi wa afrika huko UN lakini mpaka sasa sijaona jina la rais wetu Samia. Je nini tatizo? NB: Mara ya mwisho nilimuona juzi akiwa jukwaani huko mtwara na akina Harmonize.
  20. Upepo wa Pesa

    Baada ya counter offensive kufeli, Ukraine yatimua waziri wa ulinzi

    Ukipigana na nchi kama Urusi jua mwisho wako si mzuri. Baada ya counter offensive kushindwa vibaya sana na ukraine kupoteza maelfu ya wanajeshi sasa wameamua kumfanya waziri wa ulinzi mbuzi wa kafara!! Waziri wa ulinzi wa Ukraine kibarua kimeota nyasi. ======== Ukraine's Defence Minister...
Back
Top Bottom