Mimi nikushauri, inaonekana una ushahidi kabisa, na sitaki kubeza kuwa umekosa mgao, nachukulia kuwa wewe ni mzalendo sana. Nakushauri nenda ofisi ya TAKUKURU utoe ushahidi wote au piga namba 113 bure
Huwa inatokea kama abiria uliyenaye hajakuvutia, na pengine wakati unaendesha gari kuna vitu au harufu ya mafuta yanayoungua yalikutoa mood ya kuendesha gari.
Mwaka 2008 nilipanda happy nation toka Mbeya nikashukia mafinga. Toka saa 12 asubuhi mafinga tulifika saa mbili kasoro. Mama mmoja alikuwa anaenda Dar aliteremka mafinga akasubiri gari nyingine. Acha kabisa zile nyakati,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.