Search results

  1. L

    Scheme from Nursery to class six,..here.

    Scheme zote zimeundwa Kwa format ya mtaala mpya.ni pm...nikusendie whatsup. Karibuni Wakuu..
  2. L

    Nani mkombozi wa Elimu yetu?

    Tusizunguke sana. Kuna mabadiliko ya mtaala inasemekana ni ya SITA katika mfumo wa Elimu. Mimi nami ni mdau hivyo nilipata wasaa wa kuhudhuria Warsha ihusuyo mabadiliko hayo. Cha kushangaza kikubwa nilichotoka nacho ni jinsi au namna gani mwalimu anapaswa kujaza lesson plan, scheme of work...
  3. L

    Mwanaume hii inakushushia hadhi....

    Hello,. Mwanaume umevaa mkanda nje umechomekea shirt nzuri suruali nzuri mkanda mweusi kiatu brown.....big no,mkanda mweusi kiatu cheusi....mkanda brown kiatu brown...... -Ukajivalia suruali kinjiwa huvai socks chini sawa ila tizama sana personality Yako hiyo style siyo ya Kila mmoja.... -...
  4. L

    Jitahidi kuepuka Mambo haya

    [emoji137],Umeenda mahala umekuta mtu anakula Kibongobongo mtu akakwambia karibu karibu tule[emoji16][emoji16] usile kwa mkaribisho wa mara Moja bongo watu wengi mtu anakwambia karibu hasa ya chakula kama hukuwa kwenye budget atakumind japo hatakwambia.....ila watu wengine ustaarabu 0. Yaani...
  5. L

    Kamwe sitosahau wema huu aliyonifanyia Mungu

    Wakuu, Kuna kipindi nilipita matatizo makubwa sana, kiufupi siendi kwa waganga ila nasali siyo ile deep sana, ila kila kitu changu namtizama Mungu, nikipata tatizo nasali. Sasa bhana ikafikia kipindi matatizo yakanizidia, uji ukazidi unga. Ni Ile point huoni chochote, mbele ni giza mtindo...
  6. L

    Hongera Kijah Yunus wa Clouds TV

    Nimekuangalia Leo live kupita clouds tv kwenye Binti Lindi Initiative..umeongea Kwa kujiamini , umeongea Kwa nukta umetuliza akili yaani katika asilimia 100 nimekupa 99.....hongera Mamy....#tupeane maua tukiwa hai.Hongera Kija Yunus.
  7. L

    Thread titleTetesi: Hospitali ya Mount Meru Arusha kubinafsishwa.

    Salama wakuu.?..hii imekuwa ni habari iliyozagaa mjini Arusha, je ni ukwl au uzushi wale wajuvi humu ndani tutoeni tongotongo.
  8. L

    Clouds mmepatana na Diamond Platnumz?

    Mimi mpenzi wa Clouds Power Breakfast, Leo Tena sisikilizi na XXL. Naruka kwa kina Gadna siku inaishia. Walikuwa na bifu na Diamond Platnumz hawachezi nyimbo wala kutaja jina lake. Naona wanalitaja kwa kasi now, mpaka Mwijaku. Je, Kusaga aliwapatanisha?
  9. L

    Wakuu, jambo hili limenitikisa

    Kiasili sina maadui niwajuao direct humu duniani labda haters wa hapa na pale pamoja na yoooote sijawahi kubeba vinyongo kwenye moyo wangu sipendi mtu anidharau wala sidharau mtu,nikipita salamu simpiti mtu, kazini ndani siyo mtu wa vijiwe, bar wala chochote cha hivyo. Hizi social meetings labda...
  10. L

    Ndombolo ya Kings

    Nimeusikiliza na kutazama kazi mpya ya kings Ndombolo Kazi, nzuri ila Kiba kazi zenu mnafanya fanya tu ilimradi. Hii ngoma ni ya kuchezeka pale ilitakiwa mvunjike na hivyo viuno ngoma ni ya kucheza ila hamjacheza kabisa. Kiba pozi zako kwenye videos karibu zote huwa zinafanana hivi kwann msiige...
  11. L

    Maktaba kuu ya Arusha

    Kazi iendelee... Maktaba kuu ya Arusha, kisima cha maarifa uliyebeba mengi... Safari za ushindi za watu machozi yao na furaha, historia ya tangu kuumbwa kwa dunia hata leo kaskazini kusini mashariki na magharibi jamani wahusika ipakeni rangi hii maktaba kwa nje rangi imechoka mno maktaba...
  12. L

    Yu wapi Baby Kabae wa Clouds 360?

    Salaam kwa jina la JMT mwenye yuko na taarifa za huyu Dada Baby Kabae aliyekuwa clouds 360 naziomba nimfollow huko kama kahamia radio nyengine ... Alikuwa jembe sana pale 360 alipokalia Kija yunus kiukwl hajafiti na hatafiti clouds angalieni mbadala wa Kabae huyo binti Lindi ni wa nyuma ya...
  13. L

    Wimbi la kukimbia kazi Clouds FM

    Kazi iendelee. Inashangaza kusikia mtu kama B12 kuacha kazi Clouds FM, kweli binafsi nilishangaa sana maana ulisikia B12 Clouds inaclick kichwani, Diva Clouds, kuna kina Lilian Mwasha nasikia na Komando Kipensi Casto Dickson naye kaondoka au wameondoka sababu uvuli wa jasiri muongoza njia the...
  14. L

    Watanzania muda umefika tuwasamehe Bongo Movie

    Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa msichana mzuri yeyote anavalishwa kaguo kafupi ndio main character vijana na hereni zao kina Hemedi...
  15. L

    Suala la mafuta ya kula lisipotezewe

    Kuna wengine wakienda supermarkets pesa iko na kubaki inabaki wanawapa tipu wahudumu kwahiyo hata mafuta yauzwe 10,000 Lita moja wala haiwasumbui pesa iko sio tatizo ni hivi to whom it may concern. Sijui ni Waziri wa kilimo au viwanda mafuta yako juu mno Au mko group ya pesa sio tatizo kwahiyo...
  16. L

    Kizuri share na mwenzako. Chukua hii...

    Wale wapenzi wa ngoma za Dini kuna hii ngoma inaitwa EKUEME, Ekueme ni neno la ki-Igbo huko Nigeria likimaanisha Mungu anayeahidi, anayesema na kutenda ni spirit song nzuri sana ukipata na video itapendeza zaidi ina. Connection na mambo ya rohoni direct na kama ni mwepesi wa machozi kama Mimi...
  17. L

    Harmonize usitumie tena hili neno

    Nawasalimu kwa jina La JMT, Harmonize kiswahili ni lugha tajiri sana hususani kwa watu wenye mahusiano ya kunanihii, mmeshaelewa kila wimbo Harmonize lazima kumuita mpenzi wake baby, kila nyimbo baby baby baby.. Inabore sana. Hii inaua ubunifu wako mbona mpenzi lina majina mengi kama...
  18. L

    Clouds, Mama ana Nyota yake, imetosha

    Nawasilimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tz.naona clouds wameanzisha promo ya praise and worship kwa mama. Ni hivi huyu mama hahitaji promo imetokea tu watu wengi kumpenda kama nyota za kina mama zilivyo amekuwa na charisma ya kupendwa hii promo mngeitumia hata kupinga vitendo vya ukatili...
  19. L

    Wewe Ndugulile huwa huna aibu?

    Ingelikuwa Mimi wewe ningeachia ngazi ,mama alitakiwa akupe MTU akusaidie kazi hivi najiuliza sana hukuona makubaliano uliyoingia na hayo makampuni ya simu kuwa ni tatizo...hii ni aibu juu yako kushindwa kutambua nn ni kitu bora na affordable kwa wananchi walio wengi...kwakuwa labda ni wa maziwa...
  20. L

    Hongera Prof. Kabudi kwa umahiri wa kusoma kwa kufuata vituo kwa usahihi

    Jamani hakuna aliyekamilika ila sifa ya MTU apewe akiwa hai aisikie. Profesa Palamagamba Aidani Kabudi anajua kutamka matamshi ya lugha sana, kusoma kwa kufuata vituo zile nukta, mkato, koma, funga na fungu semi na alama nyingine akipewa paragraph akusomee sio siri utafurahia sana aina ya...
Back
Top Bottom