kwenye maswala ya uchaguzi, NEC ndio arbiter wa vyama vyote vya siasa. ipo kwa ajili ya vyama vya siasa na wanasiasa kwa maswala ya uchaguzi. niseme tu kwamba election is not an event, its a process that is defined in our constitution. an election process involves players and in this case...
don't crucify Peter E Mselewa for your own ignorance. kama hujaelewa mada mwambie atarudia kwa lugha nyepesi ambao ni level yako. kama kweli nawe unajiita GT basi lazima ni mvivu wa kusoma na kutafakari. usikurupuke kujibu hoja ambayo hujaelewa, kua mstarabu ili kujijengea heshima!
usikurupe mkuu, isikilize hiyo clip vizuri, alichokisema ni kwamba wata revisit hiyo judgement baada ya huu uchaguzi, kurevisit ina maana kuangalia dosari za kisheria zilizotokea katika hayo maamuzi ili kurekebisha pia kisheria. pili hakuwatishia majaji, alichokisema ni kwamba kama asingekua...
wewe kichwa Maji kweli, tofautisha kati ya July Bali uamuzi Wa mahakama na kuheshimu uamuzi Wa mahakama. alichokifanya Kenyatta ni kuheshimu uamuzi wa mahakama sio kukubali maamuzi yake. pili taasisi yoyote ya uma ipo wazi kushutumiwa na kupongezwa vilevile, hiyo ndo nature ya demokrasia. mahaka...
sawa mkuu, wenye magari labda wamekuelewa. Je utawaambiaje walala hoi ambao wanatumia mafuta ya taa majumbani mwao?? utawaambiaje bodaboda wanaotegemea pikipiki kwa maisha yao ya kila siku? utawaambiaje wafugaji wadodo wadogo wanaotumia mafuta kuendeshea mitambo yao ya kukata nyasi...
uchumi unakua kwa porojo au kwa facts?? kinachokuza uchumi ni nini?? what is your currency strength?? duh, hongereni basi hata ukue zaidi ya marekani...nkt!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.