Search results

  1. bahati93

    Nwo washirika na wajumbe

    Ukitafakari matukio ya Ugaidi yanayotokea hapa Duniani, mengi yanaonesha dalili ya kuwepo uhusiano baina yake na mipango ya kuundwa kwa Serikali Moja kubwa kutawala dunia nzima. Wahusika wa wakuu wa mpango huo makao makuu yao yapo Marekani wakiwatumia waislamu kama mojawapo ya vifaa vyao...
  2. bahati93

    Iran Infinity Jihad

    Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli. Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize. Baada ya Irani...
  3. bahati93

    Wajue hijra, ama jinsia ya tatu kutoka India

    Jamii ya Hindu huko India tangia zamani za kale wamekuwa wakiishi na watu wanaojitambulisha kama wasio na jinsia, yaani sio wa kike wala sio wa kiume. Ndani ya jamii, watu hawa wamekuwa wakifanya shughuli mbalimbali za kijamii kama kutoa baraka kwa watoto, baraka kwa wenzi wa ndoa ili kuongeza...
  4. bahati93

    Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

    Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la...
  5. bahati93

    Maboresho umbo la malaika

    Malaika ni viumbe wa mbinguni Wanatumika kufikisha jumbe za Mwenyezi Mungu kwa watu husika, hawa viumbe wana mabawa mengi sana yanayowawezesha kusafiri kwenye anga kwa kasi ya ajabu. Sasa kwa elimu dunia ndogo niliyopata juu ya mambo usafiri wa anga nadhani si Sawa malaika kuendelea hutambulika...
  6. bahati93

    Mwamba hajawahi piga mswaki

    " No one care who i was until i put the mask" " Peace has cost your strength, Victory has defeated you" " You think darkness is your ally..." " I was born in it, molded by it" Ladies and gentlemen its BANE 🥶🥶🥶🥶🥶 Huyu mwamba given his circumstances hawezi piga mswaki kabisa.
  7. bahati93

    Waafrika tuache kujibeza kwamba sisi si kitu

    Wabongo kama mojawapo ya Waafrika tumekuwa na tabia mbaya sana ya kujibeza: kwamba hatuna akili, kwamba tuna rasilimali nyingi lakini bado masikini. Ndugu zangu kiuhalisia Haya mawazo ya kujilaumu hayana mashiko yoyote kwani kama ni Rasilimali basi Warussi walibidi wawe matajiri kweli kweli - na...
  8. bahati93

    Bamutu ya Kongo nyakati zimebadilika

    Aaahem Muda siku zote waenda mbele, muda hausubiri mtu, na katika kwenda kwake mbele Muda huja na mabadiliko. Ole wao wale wanaopingana na sheria hii ya mda kwa kukataa kukubali uhalisia kwamba zama zao sasa zaingia machwewo, hivyo kuweka ukinzani kuendelea kufanya mambo yao kama walivyokuwa...
  9. bahati93

    Utalii kenya kupaa kwa kuzindua Starlink

    Nimekuwa nikifatilia kwa makini harakati za Kenya kuipatia vibali kampuni ya Starlink kuanza kufanya kazi nchini humo, mwaka huu mtandao wa Starlink utaanza kufanya kazi. kwa masikitiko makubwa sijasikia lolote kutoka TCRA tangu mara ya mwisho kusikia kampuni hio kuomba vibali. Nashangaa kwa...
  10. bahati93

    Watanzania tubadilike tulifeli pakubwa kwenye drill ya UVIKO-19

    Yajayo yanaogyofya, Dunia nzima mwaka 2019 ilifanya Drill ya kupima utayari wa nchi kukabiliana wa virusi. Tanzania kama mojawapo ya nchi ilipuuzia kwa kiwango kikubwa Drill hio. Hali hii inafanya watanzania kutokuwa watiifu kwa mamlaka husika endapo watapewa tahadhari juu ya ujio wa janga...
  11. bahati93

    Tahadhari: Harmo usije logwa kulazimisha game kwa Posh

    Wanajamii, Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni kwamba mwamba aende kwa tahadhari sana kwani kuna mashimo mengine ukiingiza kichwa chini unakuta...
  12. bahati93

    Wekeni akiba ya maneno. Miaka 100 ijayo mawazo yenu yatachekwa sana

    Wanajamii, Leo nafanya kuwakumbusha tu, siku hazigandi huku mbeleni miaka mia ijao kizazi cha wakati huo kitakuwa na fikra tofauti sana na zetu. Hivyo basi nyie watu ambao akili zenu mmezifanya mgando, hazishauriki na kubadilika ili kwenda na wakati. mtachekwa sana. Maana kwa wakati huo history...
  13. bahati93

    Wanaume tunapenda hatari

    Kuishi kwa hatari ndio jadi yetu Wanaume. Tokea utotoni michezo yetu mingi ilihusu mapambano, kuuwana, na kuchinjana. Nakumbuka tulikuwa tukipiga kelele kali sanaa kutokana na hashishi iliyoletwa na michezo yetu ya maigizo. Sasa tumekuwa wakubwa mambo ya kuigiza hamna tena, ila kuna vitu viwili...
  14. bahati93

    Couple hizi zitavunjika

    Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za...
  15. bahati93

    Alien corpses waonyeshwa

    It geting crazy Kwa mara ya kwanza kinachosemekana ni ALIEN ameonyeahwa kwa kamati ya bunge huko nchini Mexico. Am so excited, what a time, hapa bado mu USA aka baba lao aje na yeye kusema vyakee.
  16. bahati93

    Endapo kipyenga cha mwisho kitapulizwa, taifa halina cha kupoteza

    Kwema hukoo mlipo Kusema kweli USA watu wamekula bata sana hata Sir God akipuliza kipenga wengi wao hawana cha kujutia. Embu tizama mastar wa Marekani walivyo wengi ukilinganisha na nchi nyingine, tazama maisha wanayo ishi yalivyojaa anasa. Ama kweli hakuna usawa kabisaa sijui sisi watu wa...
  17. bahati93

    Mmeona emperor's new clothes?

    Kwa hii karne wanawake wameibuka Kama watawala wapya. Hawa watawala wana nguvu sana, wanalindwa sana. Nguvu zao ni kubwa sana mpaka wanaume wameanza kufanana nao. Lakini jee? mmeona emperor's new clothes. Nguo zao are very special, ni wale tu watu wenye taste nzuri ya nguo wanaweza tambua...
  18. bahati93

    Waliomiss kuona mfuko wa rambo

    Wana JF Ni ka mudaa Sasa kamepitaa Baada ya mifuko ya Rambo kupigwa marufuku. Mapakaa nishaanza kusahau inafananaje. Anyway Kama unataka ujikumbushie jinsi ilivyo, na inatumikaje i ngia Youtube alafu cheki ngoma ya SAM WA UKWELI, ATA KWETU WAPO. Samu yupo gengeni anatumia Rambo.
  19. bahati93

    Matokeo ya form six 2023, English kwenye machela - case study Pandahili

    Wanajamimi mwenzenu macho yananiuma. Halii hii inatokana na mimi kukesha siku nzima nikitafuta mwanafunzi aliyepata A kwenye somo la English katika shule ya Pandahili. Hii shule siku za karibuni ilikuwa na kashfa ya mwanafunzi kupotea, hata hivyo imeyabutua matokeo hayo in genera kweli kweli...
  20. bahati93

    Wachina huu sio ujanja

    Hivi wachina mbonaa wanatusababishia hasara, ona leo nataka ninunue wembe wa dorco nimeishia kununua sijui ushenzi gani.
Back
Top Bottom