Search results

  1. domokrasi

    Zitto: Serikali yalikoroga ujenzi standard gauge, wachina wanyimwa zabuni, wagoma kutoa pesa

    TAARIFA: Tanzania haikupewa MSAADA, ilipewa MKOPO na EXIM Bank ya China ili kuiwezesha kujenga reli ya "standard gauge". Tuendelee!
  2. domokrasi

    Tanzania Economic Update: February 2012

    World Bank update report on Tanzania's economy, February 2012 FYI Cheers!
  3. domokrasi

    Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

    Huyu mwandishi asichanganye wasomaji wake. Habari aliyoandika haiendani na kichwa cha habari! (angalia bold red) Spinning at its best
  4. domokrasi

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Mh. Mwakyembe, Pole kwa kuumwa; tunakuombea upone. That said, the onus is on you to prove that you were poisoned. If the DCI has stated that evidence available to him indicate that you were not poisoned, don't you see he is playing exactly the same game you are playing to Tanzanians... you are...
  5. domokrasi

    Mwakalebela aigaragaza Takukuru mahakamani

    Na hicho ndo walichotaka:-)
  6. domokrasi

    Nairobi bus blast 'caused by Tanzanian with grenade'

    Confirmed that the guy was from DRC and was living in Kenya on a UNHCR passport - Source: BBC "Dira ya Dunia" news, 22 Dec. 2010
  7. domokrasi

    Aliyepigwa risasi ya Jerry Muro atoboa siri

    Picha ya pili kama iko photoshopped vile!
  8. domokrasi

    Balozi Ngaiza Afariki dunia!

    RIP Balozi Ngaiza. Poleni sana Oscar pamoja na familia yote ya Balozi Ngaiza. Mwenyeezi Mungu awafariji katika kipindi hichi kigumu.
  9. domokrasi

    Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

    Assuming maelezo ya Sakina ni kweli, i.e. Mengi/Israel, namshauri akaombe kuajiriwa na gazeti la Uhuru, halafu aandike habari za kusifia CUF, CHADEMA etc;)
  10. domokrasi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Qadi (also known as Qazi or Kazi or Kadi) (قاضي) is a judge ruling in accordance with the sharia, Islamic religious law. Because Islam makes no distinction between religious and secular domains, qadis traditionally have jurisdiction over all legal matters involving...
  11. domokrasi

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Miezi michache iliyopita nilipita barabara hiyo. Kwa kweli kipande cha Mafinga-Iringa kilikuwa kibaya na matengenezo yalikuwa yanafanyika sehemu kadhaa. Pole Dr. Mwakyembe.
  12. domokrasi

    Mwadui Imeuzwa!

    Mmegi Online Thursday, 11 September 2008 Vol. 25, No. 135 De Beers offloads another mine to Petra STAFF WRITER DIAMOND miner Petra Diamonds has agreed to buy 75 percent of Tanzania's Williamson Mine for US$10 million from the De Beers Group and has budgeted US$28 million to expand...
  13. domokrasi

    Captain George Mazula wa Air Tanzania afariki dunia

    Ooh No! I am at loss of words. I cannot find the right words to describe George, the cheerful person I liked and considered as my own older brother! Indeed good people don't last long! They stay with us but only for a short while. Adieu my brother, Rest In Peace. Amen
  14. domokrasi

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mbona yupo kwenye board ya THI? au anapakaziwa!
  15. domokrasi

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    You are right! facial expression may not tell what you think... watu wengine wana makunyazi nyusoni mwao. Unaweza kufikiri jamaa kapandisha munkari kumbe ndo smile yake. Likewise, kuwepo kwa walokole kwenye premises za THI haimaanishi kuwa wamealikwa na Taasisi/Dr Masau, au? By the way, did...
  16. domokrasi

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Well said! When Dr. Dau became THI board member, was it in his capacity as NSSF's CEO or private citizen? On Wednesday, 7/23/2008, Dr. Dau gave NSSF's side of the story on TBC1 news. I was puzzled by what appeared (to me) to be an angry facial expression from and tone from Dr. Dau...
  17. domokrasi

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Sick people (patients) are vulnerable. Who is the culprit in this saga? Precisely what aspect of medical ethics? and who appears to be breaching the ethics, THI or NSSF? Has the privacy of patients been compromized? which privacy, how and by whom?
  18. domokrasi

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Kwa mtu anayeifahamu vizuri Tanzania hususan Wizara ya Afya, Dr. Masau is fighting a losing war!
  19. domokrasi

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Patron of Tanzania Heart Institute Dr. Denton A. Cooley, Founder, President and Surgeon-in-Chief of the Texas Heart Institute Board of Directors Chairman: Dr. Ferdinand B. Masau, MD, Founder and President of the Tanzania Heart Institute Secretary: Mr. Deo Lyato ,MBA, Tanzania Dr...
Back
Top Bottom