Search results

  1. lynxeffect22

    Mh: Waziri Mkuu- Mnawapaje TBA kazi ya Kujenga Maghala?!

    taarifa sahihi Client ni NFRA wakandarasi wanatoka Poland ... na walitajwa kwenye sherehe ya ufunguzi kama uliangalia kwa umakini TBA ni Project Manager wa mradi
  2. lynxeffect22

    Ndalichako abanwa kujitengea bilioni 8 kwa ajili ya kukarabati ofisi

    Itakua vizuri tungepata na jibu alilopewa Hizi ofisi za serikali nyingi hazifanyiwi maintenance services kwa hiyo huwa kwenye hali mbaya sana Na watu wawe realistic ...8B kwa ofisi moja is unrealistic ... Hiyo ni gharama ya kukarabati lile jengo .... ji kubwa na liko katika hali mbaya!
  3. lynxeffect22

    NEC yatishia kusitisha uandikishaji wa BVR

    Wadau hivi hela na fines za parking wanazokusanya hii kampuni zinaenda wapi maana hamna maboresho yoyote ya parking lots wala barabara. Naona wameanza uhuni mwingine wa kusema baadhi ya parking spaces zina watu.Wengine tukapaki wapi? Pia wameanza kuvizia maeneo nje ya katikati ya mji ambayo...
  4. lynxeffect22

    Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    kama hii ni kweli itakua mojawapo ya vichekesho vya.mwaka .... debate ya presidential aspirants ... wakati aliyetangaza nia ni mmoja tu hapo .... hii debate haitafanyika!
  5. lynxeffect22

    Kuku wakubwa wa nyama wanauzwa

    kuku wakubwa wa nyama wanauzwa maeneo ya kibamba, mzigo waweza shushwa popote mjini ... umri ni week 6 ....uzito ni kilo 1.5+ .... bei tshs 6,500/= kwa kuku mmoja mwenye kuhitaji kununua anicheki kwenye 0682130334
  6. lynxeffect22

    Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi Bungeni

    bunge maalum la katiba lilikua usanii .... waziri mkuu alitoa ahadi ambayo ilikua ngumu kutekeleza ... hao viongozi aliokubaliana nao tuliona jumuia walizodai wanaziwakilisha wakihoji nani kawachagua kuwawakilisha bungeni .... kazi ipo
  7. lynxeffect22

    Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

    1) Bei ya mafuta imekuwa ikiporomoka kwa kasi katika soko la dunia .. USA imefikia.mpaka wastani wa $800+ per litre toka $1600+ per litre ... je bei hii nayo imeshuka kwa kasi hiyo hiyo katika soko la tanzania? 2) Je, prof. Tibaijuka katoswa ili mwakani CCM wakisema ni zamu ya wanawake mama...
  8. lynxeffect22

    Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

    ha ha ha inawezekana ni kweli ..... ila kitaaluma taarifa yake haiko sahihi!
  9. lynxeffect22

    Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

    hapa sina comments maana sijui chanzo cha mawazo yako .... navyokumbuka ni kuwa mitambo ya IPTL ilikua inawashwa pale dharura zinapotokea kama vyanzo vingine kuwa na upungufu .... ndio maana ulikua ukisikia sana watu wakipiga deals za mafuta ili kusupply mitambo ya IPTL....kuendesha mitambo ya...
  10. lynxeffect22

    Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

    kwani mimi mwakilishi wa tanesco? .... mimi nilikua napinga taarifa yako, kitaaluma si sahihi!!!
  11. lynxeffect22

    Zitto aitibua CHADEMA

    hahitajiki chadema ....hizi kelele za wapambe wa zitto tu .... atambae zake!
  12. lynxeffect22

    Zitto aitibua CHADEMA

    hafai .... msimamo ni ule ule .... aondoke kwa manufaa ya chama .... hawataweza kuwa na mtu anayejiona mkubwa kuliko chama!
  13. lynxeffect22

    Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

    upotoshaji sio mzuri .....mtu hata facts za umeme unazalishwaje na unasambazwaje huna, ila unakuja hapa na kusambaza sumu zako .... so sad!!!
  14. lynxeffect22

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    mimi nikasirike tena? .... wakati mimi ndio inaniboa maskendo yanavyofumuka moja baada ya jingine lakini rais haguswi kisa yeye mkuu wa nchi? .... anaongoza nchi gani ambayo hajui yanayoendelea ndani yake? ... USANII MTUPU!!
  15. lynxeffect22

    Donors weigh CAG, PAC reports

    ungeongezea pia .... kwani hao wafadhili ni wajinga kiasi gani mpaka wasubiri kushinikizwa na gazeti la the guardian .... wafadhili wanajua mchezo mzima .... reports zikiwa za kisanii na hatua zisipochukuliwa kwa wahusika halisi, hawatatoa fedha zao!!
  16. lynxeffect22

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    umefuatilia kwa nini akagoma kuitoa? .... kama yeye hajaitoa PM na rais wana nguvu ya kuitoa mbona hawakuitoa? ... think out of the box unaweza kuta nia yake nzuri ya kuitoa ilikuwepo akapata kimemo au phone call toka ngazi za juu akikatazwa kufanya hivyo!
  17. lynxeffect22

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    tuambie ni hasara gani hiyo kaingiza .... usichanganye hasara na madeni .... kila kona ya serikali hii ya awamu ya nne inadaiwa mbona hamsemi JK angoke kwa kuongeza deni la taifa toka around 10 trillions to around 40 trillions in about 9 years? muhongo sio mwanasiasa kwa hiyo usitegemee...
  18. lynxeffect22

    Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    Ngoja aje FaizaFoxy akuambie nchi bado inakopesheka na JK kafanya maajabu katika maendeleo ya nchi ha ha ha
  19. lynxeffect22

    Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    ... afadhali kuna watu makini wameliona hili .... hili jambo halijachunguzwa vizuri!! .... wahusika wakuu hawajaguswa wanatafutwa wengine kutolewa kafara tu! .... hizo barua zinaonyesha mawasiliano kwenye wizara ya fedha na BoT lakini huko hakuguswa hata mmoja, ila wanataka kuwatoa kafara watu...
  20. lynxeffect22

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    team WAMA at work .... wanataka tuletea sasa ni zamu ya mwanamke hapo 2015, then atakayekua amebaki bila kuchafuliwa atakua kilaza Migiro tu!
Back
Top Bottom