Search results

  1. L

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Chadema tumpokee tu kama mwanachama wa kawaida. my worry asijekuwa ametumwa ili agombee ubunge Arusha then avuruge utaratibu halafu ccm wachukue jimbo lets be keen on this!
  2. L

    Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

    lol! mimi ni mhandisi na darasani kwetu girls wote walishaolewa!
  3. L

    Ni upendo kweli?

    Devil at work!
  4. L

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Wana jamvi, mchana huu nimejikuta nasoma gazeti la Mtanzania na nikakumbana na Kichwa cha habari kisemacho: Mwakyembe: Usalama wa Taifa, polisi wataka kuniua. inasemekana kuna kundi limelipwa kwa ajili ya kumuua Dr. Mwakyembe, Dr. Slaa, Reginald Mengi na wengine. kundi linajumuisha kundi la Al...
  5. L

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    sorry to say this, usilazimishe watu wote waelewe ulivyoelewa wewe yawezekana wewe hujaelewa?
  6. L

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Mkimaliza matamko mtatuambia ili turudi kucheck thread zingine, coz kila siku mnalalamika sie tuko makazini mbona hatuuoni huo upendelea? its quiet unfair kutulazimisha tukubali kua tunaonewa. watu wanapewa positions coz they qualify sio kwa sababu ni wakristo. Mnatuchosha, halafu mnapotosha...
  7. L

    Please...sema hata neno tu, waweza kumuokoa huyu mama!

    Mpaka pale mungu atakapojibu. Kumbuka mungu wetu ni mwaminifu hawahi wala hachelewi, ni kwa wakati wake ndipo atajibu
  8. L

    Jamani na mie mnikumbuke katika DUA zenu!!

    kila la kheri mpenzi. mwenzio nimetoka kwenye shughuli hiyo juzi tu. So i understand how desperate u r!
  9. L

    Ana ana do

    turinge baiyoyo x 2 Twamuomba dada..... Aje hapa tuyaone maringo yake Bingiribingiri mpaka chini...........
  10. L

    Je ni kweli huyu mpenzi wangu ana bikira?

    unaoa mke au unaoa bikira?
  11. L

    Dah kumbe sikupiga hodi

    Wapenzi hata mi sikupiga hodi. Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! I hope mmenikaribisha
  12. L

    Magufuli hatakiwi?

    guys, mi ni mmoja wa civil servant the former moid, nimefurah sana na uteuz huo coz am sure watu watafanya kazi sana pia tanroads watawajibishwa ipasavyo, coz kuna watu walijisahau wakaona kama tanroads ni yao. So am glad tumepata watendaji wa ukweli aliechukia atakua ni mvivu na asiseme kua...
  13. L

    Elections 2010 Museveni achukua Sera ya Chadema: Free A Level Ed kuanzia mwakani.. TZ? Haiwezekani.!

    jamani wana jf mbona hamnikaribishi mi mgeni or ua so busy that u cant notice the presence of new arrivals!
  14. L

    Elections 2010 Museveni achukua Sera ya Chadema: Free A Level Ed kuanzia mwakani.. TZ? Haiwezekani.!

    jamani waandish wekeni habari hii kwenye front page za magazet ili wadanganyika waelewe may b it will do us good toward our 2015 move!
  15. L

    Elections 2010 Mbowe, Marando, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika

    go slaa! Go chadema! Mungu akiwa upande wetu nani atakua kinyume chetu! People's power!
  16. L

    Blogu ya MarafikiwaChadema Iko hewani

    sasa we chama toka lini ccm mkawa marafiki wa chadema? Hiyo ni blog ya friends of chadema
Back
Top Bottom