Search results

  1. Doto Dotto

    SOLD: Tv flat screen, Simu, Subwoofer Vinauzwa

    StarX inch 32, Tsh 270,000/= Samsung Galaxy J7 prime duos, Tsh 220,000/= Subwoofer Sea piano, Tsh 80,000/= King'amuzi startimes Tsh 50,000/= Stand ya Tv Tsh 30,000/= Vyote bado viko katika hati nzuri Piga. 0654 613703 Mwanza kona ya bwiru Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Doto Dotto

    Njiani kuelekea Arusha

    Niko njiani naelekea Arusha natokea Dar, lengo ni kutembea tu ku-refresh kuijua nchi yangu Tz. now nimeichagua Arusha, next time naenda Mbeya Nitakuwepo Arusha wiki moja tu, so naomba kwa wanaoijua A town vzr wapi nitembelee maeneo gani ya kula bata, club, makumbusho n.k ukiacha mbuga za...
  3. Doto Dotto

    Ushauri: Nimekuta meseji za mapenzi kwenye simu ya mpenzi

    Wana jukwaa amani iwe kwenu, Ni juzi tu nilikuwa na mpenzi wangu sehemu fulani hivi tulivu, tukipiga story na ku-refresh. Sasa wakati tukiendelea kupata good time, mimi simu yangu ikawa imeishiwa charge mnaotumia samsung mtakuwa mnajua hilo, na kwa wallet pesa ilikuwa imebaki kidogo ikabidi...
  4. Doto Dotto

    JPM kwa hili unatukatisha tamaa serious

    Wana jf woooote heshima kwenu. ni imani yangu kuwa wk-end inaenda poa Leo Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ndug John Pombe Magufuli wakati akihutubia ktk siku ya wafanyakazi dunian kuna kauli kaitamka kuwa: HAJUI KWANINI ALIOMBA NAFASI YA U RAIS NA ANAJUTA Me binafsi imenikera sana...
  5. Doto Dotto

    Nani zaidi: Mkuu wa Mkoa au Meya wa jiji?

    Wana JF wooote heshima kwenu... Uchaguzi wa meya wa jiji letu letu la Dar umeisha na Bwana Isaya Mwata ameibuka kidedea kuwa meya mpya wa hili jiji. Sasa swali langu ni hili, kati ya mkuu wa mkoa na meya wa jiji nani mwenye Madaraka/ mamlaka au mwenye sauti juu ya mwenzie? Maana nahisi...
  6. Doto Dotto

    Hongera Paul Makonda kuwa RC wa Dar, unastahili

    Ni kutokana na utendaji wako uliotukuka kwa kipindi kifupi sana cha mwaka mmoja ukiwa hapa kinondoni. kazi zako, juhudi, utendaji wako, uchapakazi wako ndio vimekupa kibali mbele za mungu na mbele ya Rais, kuwa unafaa kuwa mkulu wa dar. Sasa ongeza bidii, makali yako yoooote yahamie kwenye cheo...
  7. Doto Dotto

    Mapenzi ya wazi au ya siri, kipi bora zaidi?

    Habari zenu wana MMU. Natumaini mko poa, na wk-end inakwenda vzr. Ok. Kuna hii tabia ya watu kuwa kwenye mahusiano kisiri siri, yan wanagegedena kimya kimya! Vyuoni, Ofisini, Kwenye za kupanga, Majirani mtaa mmoja, unakuta watu wanagegedana kinya kimya! hawataki watu wanaowajua na...
  8. Doto Dotto

    Mnamuongelea mtu furani, halafu mda si mrefu anatia timu/kufika maana yakee nini hii?

    Heri ya mwaka mpya! kwenu wana jukwaa... Kuna jambo linanitatiza sana. mfano: mmekaa somewhr, au hata home mnapiga story mbili tatu hivi, then ktk maongezi yenu mkamuongelea mtu furani hivi. but ghafula huyo mtu mliekuwa mnamuongelea anafika time hiyo hiyo. kuna watu wanasema mengi ktk hili plz...
  9. Doto Dotto

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Hii ITV tangu kampeni zimeanza mpaka zinaisha ilikuwa ikimshabikia sana lowasa, sababu siijui. baadhi ya wanahabari wake wamekuwa wakionyesha hilo wakati ni kinyume cha sheria. sasa sijui ni wao binafsi au Boss wao me sijui. but hili la leo tc too much! Leo wameripoti eti "Shamrashamra za...
  10. Doto Dotto

    Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

    Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Back
Top Bottom