Search results

  1. papaa-H

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    wakuu kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kujua hizi scale za mishahara ya serikali na mashirika yake. mfano TGS scale (TGS E)
  2. papaa-H

    Jaribu hii kazi kama unaweza ni kwa yeyote mtaalamu wa wa "social networks"

    hamna kitu hapo, thats scum. ..Fanya mambo mengine productive, kuna site nyingi za aina hii. Just try to google
  3. papaa-H

    iphone 4s iliyo katika hali nzuri (like new) inauzwa BEI YA kutupa 350,000 tu

    DEAL CLOSED I wanted to delete this thread lakini nimeshindwa nikaishia kui-edit tu. Hivi inaruhusiwa ku-delete thread? if YES how to do it?
  4. papaa-H

    ndefu lakini tamu (jamani shemeji)

    ISOME MPAKA MWISHO HAKIKA MAPENZI SI MCHEZO Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunapendana sana. Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa muda wa miaka minne hivi, na hivyo tukaamua tuoane. Ila kulikuwa na jambo moja dogo lililokuwa likinisumbua sana, nalo si linguine bali ni mdogo wake wa...
  5. papaa-H

    Waliopuuza hoja ya Mbatia, Matokeo ya Kidato cha Nne yamewapuuza

    ndugu wana janvi naomba tuendeleze mjadala mpana wa elimu maana bila kufanya hivyo tutaruhusu siasa kuua nchi hii, ndiyo maana naweka katika jukwaala siasa ili kupata mtazamo mpana zaidi ya ule wa kitaaluma. Matokeo ya kidato cha nne yametoka na kufichua kile ambacho kwa uchache kimeonesha...
  6. papaa-H

    Dr KASHIRILA KATIBU WA BUNGE AMEDANGANYA UMMA:

    Ndugu wanajanvi naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli za Dr Kashirila. Ndani ya siku tatu bunge lilikuja na kauli mbili, awali likitangaza kusudio la kusitisha kurusha matangazo ya shughuli za bunge moja kwa moja(live), Pili likijaribu kubatilisha kauli ya awali. Sababu za kutoonesha bunge...
  7. papaa-H

    Serikali ya magamba chukueni hii

    Wadau katika pitapita yangu kwenye mitandao nimekutana nasocial network ya kibongo jamaa wame-design platform ya kuchati, kushare photo,job search nk. Kitu kama G+ hivi au facebook. Iko hapa www.mambopoint.com, My take, serikali ya magamba inapaswa kusuport creation kama hizobadala ya...
  8. papaa-H

    Hela pesa fedha money nje nje

    its not a joke though in jokes forum, may be its udaku. sijawahi amini kama unaweza pata pesa mtandaoni, hebu bofya hapa chini na wewe ujipatie haya maujanja.BOFYA HAPA . walisema kizuri kula na ndugu zako, changamkia ndugu!
  9. papaa-H

    Source mpya ya kazi guys!!!

    Katika pitapita zangu huku mitaa ya mtandaoni nimekutana na site mpya ambao nao wanaweka latest job posts kutoka kwenye magazeti. pia nimeipenda coz unaweza kujiwekea job alert ukawa unapata notification ya kazi mpya zikiwekwa direct kwenye Email yako based on your professional. Take a look...
  10. papaa-H

    KAGONGWA (picha?)

    mkuu iko nyuma ya kahama yani..kagongwa...kahama mjini
  11. papaa-H

    Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani

    amkapa akae atulie ..watz wa sasa c wale wa enzi zake. ona alivyoenda kuaibishwa AR meru
  12. papaa-H

    zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

    what kind of mdudu ar u talking about?????????
  13. papaa-H

    natafuta kabinti kabichii ..kakuoa

    waoaji wachache sana cku hiz madamex, na wanavyodai tena kwamba female ni wengi kuliko male, ukiongeza na hawa cameroon(PM wa england) anaotaka kutengeneza plus ugumu wa maisha inafanya kuolewa kuzidi kuwa bahati ya pekee.
  14. papaa-H

    natafuta kabinti kabichii ..kakuoa

    thanks Jes... wembamba kwa wanene wote wanakaribishwa, ila wasiwe na ndoa. All the best mlio kwenye ndoa zenu
  15. papaa-H

    natafuta kabinti kabichii ..kakuoa

    thanks any way
  16. papaa-H

    natafuta kabinti kabichii ..kakuoa

    Hi there...! nahitji binti mzuri wa kuzugia, tukiendana anaweza kupata bahati ya kuolewa nami. I cant speak of marriage right now coz I do believe that this wil be the output of what we gonna buld together. To know me better just Pm me ...wahi faster nafasi ni chache (moja) upatapo taarifa hii...
  17. papaa-H

    Msichana wa Kimasai

    hapo mambo ni ehjsdfibldzovfta8cvo9a...
  18. papaa-H

    Masikini Tanzania! Kwa sera hizi itagawanyika vipande vipande

    kama hizo lugha zitatufanya kuwa watanzania basi ni vizuri tuzitumie ILA KAMA ZITATUFANYA TUGAWANYIKE NA KUJIITA CC WACHAGGA NA WAO WAPARE AU WALE WAZIGUA BASI TUOGOPE HILI AZIMIO KAMA EBOLA coz we are no longer going to have the tz we used to have. We have to be very careful c kwa sababu tu...
Back
Top Bottom