Search results

  1. mimi05

    Msaada Tafadhali

    Wadau naomba mnijuze treni inafika saa ngapi asubuhi tabata reli kwenda posta na jioni inatoka saa ngapi kurudi tabata.Asanteni sana.
  2. mimi05

    Ratiba ya treni

    Wadau naomba mnijuze treni inafika saa ngapi asubuhi tabata reli kwenda posta na jioni inatoka saa ngapi kurudi tabata.Asanteni sana.
  3. mimi05

    Help on iphone

    Asante sana ndugu yangu,nimeshajaribu original charger ikakataa,nitaipeleka hapo shoppers plaza,uwe na usiku mwema.
  4. mimi05

    Help on iphone

    Ilianguka mara moja siku za nyuma.
  5. mimi05

    Help on iphone

    Tafadhali naomba msaada, iphone yangu iliisha charge ikazima.nilipoweka katika charge nikaiwasha ila haikuwaka hadi sasa tokea mchana ilipozima.Nimejaribu kubadili charger,port etc. but in vain,nimetoa line nikarudisha bado haiwaki,nifanye nini? Naomba mnisaidie wataalamu.
  6. mimi05

    Neno la MUNGU kwa leo

    Amen.Mungu akubariki.
  7. mimi05

    msaada jamani kunyonyesha kunanishinda

    Pole sana mama,hakikisha unamweka mtoto vizuri katika ziwa lako, yani sehemu kubwa ya chuchu iingie mdomoni kwa mtoto. Halafu uwe unamnyonyesha mara kwa mara kama alivyoshauri mwenzetu hapo juu hii itasaidia kuondoa maumivu. Maumivu yataisha tu usiache kunyonyesha mwanao sababu faida za...
  8. mimi05

    Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

    Nilijifungua kawaida tu na sikuwa na tatizo lolote.
  9. mimi05

    Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

    Asante sana,nitumie maji moto au baridi?
  10. mimi05

    Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

    Habari wana jamii,naomba ushauri kuhusu maumivu makali ya kichwa upande wa kushoto baada ya kujifungua kawaida.Dr alisema ni kawaida kuumwa kichwa kwa mama anyonyeshaye ila naona yanaongezeka zaidi.Je kama ni kawaida yatachukuwa muda gani kupona? Nilipima HB iko sawa. Asanteni kwa ushauri.
  11. mimi05

    Kina Dada, "Are you Mom enough?"...Wanaume najua mtatia chabo tu!

    Vizuri sana FL,si aibu kumnyonyesha mtoto wangu,cha msingi nijifunike.
  12. mimi05

    10 Fruit Juices Good for Health

    Ahsante sana daktari.Matunda yanavutia hayo!!
  13. mimi05

    Naomba ushauri juu ya mfanyakazi wa duka la copy

    (kwenye red)Bado unafikiria tuu,kwa nini usichukue hatua?
  14. mimi05

    Ziara ya Mwakasege

    Website yake inaonesha kuwa tarehe 29 januari atakuwa na watu wote dar kwa ajili ya kufungua mwaka,inawezekana kuwa viwanja vya biafra kinondoni ila hawajasema.ubarikiwe.
  15. mimi05

    World's Smallest Resignation Letter!!

    You are FIRED!!
  16. mimi05

    Haito tokea mpaka

    naona katoka nje ya topic!! lol!
  17. mimi05

    Msaada kwa mjamzito

    Asanteni sana ndugu zangu kwa ushauri,hata nilimshauri aende hospitali naona ataenda leo.Mungu awabariki.
Back
Top Bottom