Search results

  1. Kwetu kaya

    Mbaroni kwa kumuua mpenzi wa Mama yake

    Ndio mtoto wa hao wamama akikuta na mamake anakuua unakufa kama huyo Mdafanga..
  2. Kwetu kaya

    Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Ngoja tukavutane mashati huko huko. Kwani nikizama mkoani kabisa kwenye hazina ya mkoa siwezi pewa hiyo pesa nihamie kwangu nishachoka kulipa kodi na umri wangu wa kustaafu ushasogea!
  3. Kwetu kaya

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Mkopo wa muda mfupi riba huwa ndogo Mkopo wa muda mrefu riba huwa kubwa zaidi na kutopup ndio sumu zaidi.
  4. Kwetu kaya

    Tetesi: Moshi: Afisa Elimu wa Manispaa kumuweka LOCKUP mwalimu, walimu kuanza mgomo baridi tar 11.4.2023 kutokufundisha hadi Ngonyani ahamishwe

    Hili suala ni very sensitive ila naona mamlaka zimekaa kimya au jamaa hagusiki kama yeye mwenyewe anavyopendaga kusema kuwa yeye hakuna anayeweza kumgusa.
  5. Kwetu kaya

    Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

    Mshasahau ya Sadam wa Kuwait
  6. Kwetu kaya

    Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Brother lazima ujue matumizi sahihi ya choo hususan haja ndogo sio unaenda unaposti tu umesimama mlangoni taratibu lazima zifuatwe ili kukwepa najisi.
  7. Kwetu kaya

    DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

    Huko Kilimanjaro hali tete? Hivi sakata la yule afisa elimu wa Manispaa ya Moshi limeishaje? Huko wanangonoka sana sababu ya kawinta.
  8. Kwetu kaya

    Walimu msipojirekebisha tutawatenga

    Ha Nadhani walimu wachache waliokufundisha brother ila sio wote.
  9. Kwetu kaya

    Utapeli mpya Magufuli Terminal

    Wapiga debe wapigwe marufuku kabisa ni chanzo kikuu cha uvivu na kichaka kikubwa cha uhalifu.
  10. Kwetu kaya

    Je, ni sahihi kwa waislamu kufunga barabara kisa wanaswali?

    Mambo ya kawaida sana na usitugasi tutaendelea kufunga hadi dakika ya mwisho inshaallah.
  11. Kwetu kaya

    Familia isiyokuwa na mwanaume (baba) huwa inapwaya.

    Watoto wakiwa mbali na mzazi wa kiume wanakosa hata kujiamini. Wanaume wachache tunaojitambua hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu na azidi kutuongoza katika kutekeleza majukumu yetu.
  12. Kwetu kaya

    Simba msimu ujao tujifelishe tushiriki Shirikisho, tusishiriki tena Champions League, ama nusu fainali kwetu itabaki kuwa ndoto

    Acheni fikra finyu mpira ni dakika 90. Simba imeaminiwa na ni timu kubwa hivyo na sisi tunaamini itafanya vizuri na sisi kama Watanzania tuna imani kubwa na simba. Simba nguvu moja. Simba ni baba wa soka la kimataifa kwa nchi hii.
  13. Kwetu kaya

    Tunayokutana nayo kwa wake za watu

    We jamaa tena Tanga waleta ujinga wako ngoja ukutane na matego ya kizigua na usinga maji utaifa mma Siku zako zinahesabika pole sana kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia yako.
  14. Kwetu kaya

    Mbona Kikwete anacheka kila wakati 🤔

    Wanasema ukifurahi unaongeza siku za kuishi.
  15. Kwetu kaya

    Mtandao wa TTCL majanga

    Huu mtandao hautoi ushirikiano.
  16. Kwetu kaya

    Mtandao wa TTCL majanga

    Takriban siku ya tatu sasa huu mtandao wa simu mtumiaji hawezi kujiunga na huduma yoyote zaidi ya kupigiwa simu apokee. Tatizo nini au mshaufuta rasmi?
  17. Kwetu kaya

    Kwaheri TTCL, kila lenye mwanzo halikosi mwisho

    Ni mkuu wa mkoa wa Tanga.
  18. Kwetu kaya

    DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Mwanzo wa ngoma ni Lele  Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.  Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba.
Back
Top Bottom