Search results

  1. O

    Mbowe waachie Tume wafanye kazi yao

    Mbona mnajamba Jamba hovyo baada yakumsikia Mbowe
  2. O

    Magufuli aomba Kura kupitia simu

    Kama ni kumsikia nilishamsikia kabla hajawa na wazo lakugombea urais,hizo gharama anazotumia hivyo anatarajia kuzirudisha vipi?au ndio mzigo wa kodi kwa wananchi
  3. O

    Marekani wanamkubali Dr. Magufuli, cheki picha hii

    CCM itashinda njaa ila sio urais
  4. O

    Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

    Wasikutishe hao wasakatonge,sisi ndio wapiga kura na tutampigia Lowasa,unafiki ubakie hukohuko
  5. O

    VOA, Kipindi cha Straight Talk Africa, Lowassa will win

    Jamani mm ni CCM najisikia tumbo linavuruga nikiona mafuriko ya Lowasa,mgombea wetu kilasiku anazomewa,nimegairi na mm napigia ukawa kura zangu
  6. O

    VOA, Kipindi cha Straight Talk Africa, Lowassa will win

    Twaweza ndio walisema kweli
  7. O

    Wana CCM hatumpigii kura Magufuli ng'ooo

    Hata mm mimeshtuka
  8. O

    Wapinzani wajiandae kisaikolojia, takwimu hazidanganyi

    Leo umeingiza siku fanya mpango wa kesho bado siku 6 tu,ila hata wewe kura yako ni muhimu kwa LOWASA kama unaipenda Tanzania
  9. O

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Hata hizo mic nadhani hazitakuwa salama
  10. O

    Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

    Ishu sio mmasai wala Mmeru hapa ni mabadiliko tu,wananchi hawaitaki ccm tena
  11. O

    Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

    Hasira ni dalili za ugonjwa
Back
Top Bottom