Search results

  1. N

    Risasi zalindima sirari Tarime.

    Nasikia kuna vurugu kubwa hapo sarari baada ya Mfanya biashara mmoja (Ndugu) kumpiga mtu risasi. Naomba aliyeko eneo la tukio atujuze .
  2. N

    Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa

    Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa
  3. N

    Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa

    Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa
  4. N

    Mafuriko Jijini Mwanza

    Kuna hali ya taharuki hapa Mabatini kwani kuna mafuriko makubwa hadi barabara ya kutoka Musoma kuingia mjini imefungwa karibu masaa matatu, hakuna gari kupita maji yameenea eneo lote la mabatini (mto Mirongo). Kwa kweli hili eneo la mto Mirongo panahitaji bomoa bomoa kubwa ili kunusuru wanajiji.
  5. N

    Mh. Magufuli imulike ofisi ya Msajili wa Hati Kanda ya Ziwa

    Ofisi hii ni muhimu sana kwa wananchi wa kanda hii, lakini muda mwingi imekuwa kero kubwa sana hasa pale wananchi wanapohitaji huduma ya kusainiwa hati kwa ajili ya maswala mbali kama vile: mikopo,kubadilisha jina la hati ya kiwanja n.k. ukifika pale ofisini pengine umetoka Karagwe au...
  6. N

    CCM washambulia Wanachama wa CHADEMA

    Leo muda wa saa moja jioni maeneo ya Nyakato sokoni Ilemela Mwanza. Wana CCM wakiwa wanatoka kwenye kampeni, waliamua kupiga kila waliye kutana naye njiani akiwa na Bendera ya UKAWA na hata kupiga magari na baadhi ya magari kuharibiwa na kusababisha vurugu/foreni kubwa eneo hilo bila hata...
  7. N

    Wafanyabiashara kanda ya ziwa waunda umoja wa changi Magufuli aingia Ikulu.

    Alhamisi iliyopita baadhi ya wafanya biashara wenye asili ya ya kanda ya ziwa walikutana ktk ukumbi mmoja maeneo ya Mtaa wa Uhuru na kuchanga zaidi ya Tsh. 1Bl ili kuhakikisha kuwa Rais hatoki Kaskasini na kuazimia kuwa kila anayefanyia biashara Mikoa ya ziwa ni lazima aunge mpago huo. Je kwa...
  8. N

    Mgombea udiwani wa Ccm kata ya Mahina wilaya ya Nyamagana Mwanza hafai.

    Ikumbukwe kuwa huyu Mkurugenzi wa Shule za Alayansi Ndg Mageuzi( Bwire) wakati anaazisha hii shule alinyanganya wana Mahina Ardhi bila hata kuwalipa senti yoyote na ilifikia hata Mauaji yakatokea. Na wanamahina hawajasahau kuwa Ndg zao waliuwawa na walinzi wa huyu jamaa na Mdogo wake naye...
Back
Top Bottom