Shida ni mikataba inayowekwa kwa sheria ambazo zinapitishwa bungeni na wabunge walio wengi kwa hati ya dharula,kupitishwa kwa stahili hii kutatugharimu sana.
Mkataba wowote ni lazima uwe na kipengere cha kuvunja,huwa hakiwekwi 7bu sheria kuhusu mikataba hupitishwa kwa pupa,tena na watu wengi...
Zari alishakiuka sheria ya ndoa na mirathi,hakuna sheria inayorohusu mtu aliyekwisha zaa na mme mwingine kurithi mali ya aliyewahi kuwa mme wake,Ivan kwa Zari ni Co_Parent basi,warithi halali ni watoto wa Ivan ambao basdae wanaweza mtunza mama yao.
Hakuna sheria inayoamini kama Zari hatatumia...
Ilikuwa sahihi katiba mpya kuwa na kipengere cha kuzuia mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kuwa waziri,anashindwa kusema kero za waliomchagua,haishauri serikali badala yake anailinda serikali.
Zoezi la uhakiki wa vyeti umeisha.Je wale tuliopandishwa madaraja mwaka jana mwezi wa tatu lakini hatukurekebishiwa mishahara ili kuruhusu uhakiki tutarekebishiwa lini mishahara yetu?
Mheshimiwa Rais kwanza pole kwa majukumu.Mpaka sasa umesafisha nyumba kiasi cha kutosha.
Walimu tunakuomba utupie macho chama hiki,chama kina vitega uchumi,hakuna sababu ya wanachama kuendelea kukatwa 2% toka kwenye mishahara yao.
Kila mwanachama ana hadhi sawa na mwenzake,kwanini...
Vyote pamoja kaka,ingawa Bashite aligundulika baada ya zoezi la uhakiki kuanza.Kumbuka kutajwa na kuthibitika kwa Bashite kuwa hana vyeti kumenuru wanasiasa wengi na wateule wa Rais wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.