Search results

  1. N

    Majeshi yetu yafunzwe kuheshimu raia

    Leo asubuhi around saa 3 pale traffic lights Magomeni nimeona askari magareza wakimpa kipigo cha mbwa mwizi dreva wa fuso kisa eti amekaa kupisha gari la wafungwa. Sisi wapita njia tumesikitishwa sana na kitendo hiki kwa kuwa hakukuwa na ulazima wa kumpiga kiasi hiki kwa sababu hakuwa mbishi na...
  2. N

    Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutano wa JK na CHADEMA!

    "Bora kufa kwa risasi kuliko kufa kwa njaa"
  3. N

    CHADEMA (Dr Slaa) afuate nyayo za CUF (Maalim Seif)

    48% ya 5million na 48% ya 500000 ipi kubwa,it is true huyu mpemba hana upeo wa mambo. Achana na Dr.Slaa hiki kichwa noma.
  4. N

    CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    bora tufe kwa risasi kuliko kufa kwa njaa.muda hauko mbali.
  5. N

    CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    Kama ni kifo ungechagua kipi kati ya KIFO CHA RISASI na KIFO CHA NJAA?Time will tell.
  6. N

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Kuna habari kuwa basi la Ally"s toka Kahama kuja Dar limepata ajali Dodoma na limeua watu. Mliopo karibu na Dom tujuzeni kinachoendelea.
  7. N

    Hi, am a new member!

    Hii ni plot ya mafisadi ikiongozwa na kamanda wao rostam,watanzania tusikubali kufa kwa njaa bali kwa risasi.
Back
Top Bottom