Search results

  1. I

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Uzi uko vizuri sana.Tatizo mnapenda muandike nyinyi tu.Midoli ikiwa uchi kuna tofauti gani na picha za utupu? Msipende kukosoa kila kitu jaribu kukubali mawazo ya wengine pia.
  2. I

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kwa namna hiyo midoli ilivyoundwa lazima kwa mwanaume RIJALI ikushughulishe.Kama ww hupatagi hisia consult a physician utakuwa na changamoto ya erection.
  3. I

    Makonda nakuamini, usirudi nyuma

    Kama kuna mtu anahitajika sana kwa manufaa ya watu wa hali ya chini basi mtetezi ni Paul Makonda.Kijana jasiri mwenye uthubutu na asiyemuogopa wala kutishwa na mtu yeyote.Makonda ni zaidi ya bulldozer!
  4. I

    Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

    Kasema atamtafutia,bado hajampatia mbona mnapotosha?
  5. I

    Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Una maana harakati hazifai hata kina Mandela na Nyerere walikuwa wajinga kupigania uhuru.
  6. I

    Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Masaa matano limekuwa bus? Dar -Dom ni km 450 kwa hiyo linatembea zaidi ya km 100 kwa saa?!!
  7. I

    Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    Najuta kujiunga na nyinyi.Nilikuwa nikijaza jiko la gesi ndogo kwa sh 23000 natumia mwezi mzima lkn humu m-gas imekula 50000 kwa mwezi kwa matumizi yaleyale! Nimejirudia home!
  8. I

    Wanaokuja kuishi Dar wapewe semina elekezi

    Mtoa mada upo sahihi,wanakera sana.
  9. I

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Idawa Idawa Idawa
  10. I

    Safari 7 za Sinbad

    Simulizi nzuri sana,nimvivu wa kusoma lkn imenishawishi hadi nimeimaliza! Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  11. I

    Ni kweli kuwa hii miti inaua?

    Haya mambo yapo ,lisemwalo lipo...
  12. I

    Usiku wa leo nimeota nimekufa

    Hautakuwa na muda mrefu wa kuishi anza kuandika wosia.
  13. I

    Tahadhari kwa watumiaji wa TECNO, Infinix na iTel

    Fundi tupe location nina simu yangu Lg inacharge lkn haijazi betri kwahiyo haiwaki na inapata moto sana
  14. I

    Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

    Sielewi chochote kwenye huu uzi, nasikia mara dogo mara mwalimu kwani kunani? Basi tuwekee tuvideo nasi tuchangie
  15. I

    Wanaofanya haya, mwisho wa maisha yao utakuwa mzuri au mbaya?

    Ni tafakuri nzuri kwa mwenye akili
  16. I

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Daaa ilinikuta issue kama yako mwaka jana,najua shida unayopitia,pole sana Mungu akutie nguvu.
Back
Top Bottom