Search results

  1. G

    Ni kweli sio joke

    Waswahili kwa kashfa huwawezi!!!
  2. G

    Rich people

    Hii ni kweli wala joke!!
  3. G

    Tanzania, maendeleo hadi.....

    yupo kazini.
  4. G

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Pasco maelezo yako yanaonekana ni mazito lakini jaribu kutumia lugha moja au Kiingereza au Kiswahili. Pili jaribu kupanga hoja zako na mantiki katika kuwasilisha kwani una mawazo na hoja nzito.
  5. G

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Kuna ka mtindo kameanza kujitokeza ka udini. Inaonekana waislamu wanapenda sana kujificha kwa kuzusha ukristo ili hoja halisi isjadilwe au kukwepesha hoja kwa nia hasa ya kuendeleza udini yaani uislamu. Ndivyo yaliyojitokeza wkati wa uchaguzi mkuu. Baadhi ya waislamu walipiga kelele juu ya...
  6. G

    Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

    Tatizo la wanaume ni kutokujua asili na tabia za wanawake. Wengine wanataka wanawake wawe sawa na wanaume. Haiwezekani. Mungu hakuumba hivyo. Muhimu ni kwa wanaume kujua mwanamke ni mwanamke na anatabia ya ndani na maelekeo tofauti kabisa na mwnaume. Hapo tutaheshimiana zaidi. Cha maana tu ni...
Back
Top Bottom