Search results

  1. K

    Hivi ni kwanini wanawake wengi hujivunia sana makalio yao?

    Vale hata wewe nae umejaza kama vile imepitiliza,yaani we acha tu.
  2. K

    Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

    Hapana mamii,hatumiwi ili wanatumiana au vipi?
  3. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Lakini ni taaamuuuu sana mkuu,hata mimi nilikuwa sijui,ila baada ya kula samadi mpaka leo huo ndio ugonjwa mwangu,naanzia kula kaima halafu namalizia mkainda.
  4. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Hahaaaa Ngabu,utanivunja mbavu bro,yaani umeamua kumchomesha mahindi,mwenzio anagonga hodi halafu anajibiwa na kasuku,hayuuuuuuuupoooooooo katoooooooooka,hahaaaaaaa,yaani mtoto katoka Tandika sijui Tandale na joto loote la jiji,kafika akijua utafungua mlango umpe hata juice anywe? daah.
  5. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Muendee pm basi au vipi?,Ngabu ana nyota kali.
  6. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Ngabu the great of all,wewe ni kama mchawi lakini sio,ni digital ndio inakupaisha,so achana na makenge bluu,watoto hawaishi kukulilia,umekuwa kama zimwi linakula watoto wa jukwaa na haliwamalizi,ubarikiwe mkuu,mimi ningepata bahati hiyo nafikiri sasa hivi ningekuwa nimeoa wanawake wanne.
  7. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Mrembo Ceecy,karibu jukwaani,usikonde sisi wazee tunakukaribisha na ujiachie kama upo saloon.
  8. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Mkuu,kajilengesha tayari,so wewe ni kama kusukuma mlevi.
  9. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Venossa hebu tupe mautaalamu,hivi kweli chupi huwa zinawasha nanihii?
  10. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Mkuu,Nyani Ngabu ni maji marefu,we acha tu,kila ,mrembo anampapatikia,chezea American boy?
  11. K

    Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

    Daah,yaani unanipandisha midadi kabisaaa,eti kuna kitu unafanya huku na huku?
  12. K

    Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

    Mkuu Ficus,hivi unatumia dawa gani ya mswaki?,maana meno yako ni meupe sana.
  13. K

    Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

    Nipo mrembo,ila majukumu yamekuwa mengi,sina wa kunificha kwa sasa mamii.
  14. K

    Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

    Daah yaani ushaunowa?,kaumia mtu hapo.
  15. K

    Ni kweli wasichana wanaenjoy zaidi wanaume ambao hawajatahiriwa?

    Hujawahi kunanihii,humu unatafuta nini sasa?
  16. K

    App hii itawasaidia waliopo kwenye mahusiano kuepuka mimba zisizotarajiwa

    Kwa mahitaji ya gadget za uhakika,unaweza kuja pm,ninazo aina tatu,the best ni ile ambayo unasogeza gadget half inch nside,hapo inakuonesha reading einther ni safe ku do,or not safe to do,inasoma hormones za kike.
  17. K

    Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

    Mrembo,wewe nakuaminia mamii,maana mausafi yako ni ya kdigitali,tena hii mada haikuhusu wewe.
Back
Top Bottom