Search results

  1. H

    Msaada: Ushauri wa kiufundi kabla ya kuagiza gari hizi

    Kama ndio gari yako ya kwanza nashauri nunua Toyota Premio kwanza then ukishapata uzoefu wa magari baadae ndio utanunua Nissan Dualis. Ni hii kwasababu kuwa spare za Toyota Premio zipo nyingi sana na zinapatikana kwa bei nafuu kuliko Nissan Dualis japo tofauti yake ya gharama ya spare za magari...
  2. H

    CHADEMA sasa hivi wanashikiwa akili na Lissu, Lema na Wanaharakati

    Na wewe ulitaka vijana wa CHADEMA washikiwe ajili na nani?
  3. H

    Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

    Mimi natabiri kuwa Jaji akiamua tofauti na kinyume cha sheria Mh. Mbowe atasema sina imani na Jaji, hivyo naomba abadilishwe. Lengo ni kuonyesha kuwa hawa majaji wanafanya maamuzi kwa kuwasilikiza watu fulani badala ya kufuata sheria. Hivyo mahakama itakuwa ni kama vile inajiabisha yenyewe.
  4. H

    Rais Samia, uongozi si hotuba zenye maneno matupu. Uongozi ni matendo yenye matokeo ya ulichotamka

    Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.
  5. H

    Rais Samia, uongozi si hotuba zenye maneno matupu. Uongozi ni matendo yenye matokeo ya ulichotamka

    Huyu mama wala si wa kumpa muda. maana ishajionyesha dhahiri kuwa si mtu mwenye msimamo kwa kauli zake anazotoa. Anaweza akawa na njema ila wakitokea wahuni na kumshawishi kuhusu kitu fulani hachelewi kubadilika. Hiyo ndio hofu yangu mimi.
  6. H

    CHADEMA wanakosea, Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha

    S sasa wananchi watashikirishwaje bila kupewa elimu kupitia makongamano kama hili lililotakiwa kufanyika Mwanza?
  7. H

    Rais Mwinyi: Katiba mpya inaweza kuleta vurugu kwa sasa tujenge uchumi kwanza kama alivyosema Rais Samia!

    Huu ni upotoshaji mkubwa na ulevi wa madaraka. Katiba mpya ni kwa namna gani inaweza kuleta vurugu?
  8. H

    Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

    Ni kweli vyama vyote vilikuwa vinadharau sana juu ya hili kwa kuchagua wagombea wenza incompetent. Ila kwa hili lililotokea naamini litakuwa no funzo tosha.
  9. H

    Utabiri wangu: Makonda kurudishwa ukuu wa mkoa

    Wewe ndio makonda mwenyewe. Tuondolee ujinga muuaji mkubwa wewe
  10. H

    Godbless Lema Taifa linaongozwa na sauti yako tuliyoikataa

    Risiti ya manunuzi iko wapi?
  11. H

    Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

    Lugha uliyotumia wala si ya kistaarabu. Kwani baya gani waliloongea hadi utukane? Hivi kwanini hampendi kusikia neno haki likitamkwa? Binadamu tuna shida kubwa sana.
  12. H

    Kama Dar na Dodoma ndio hivi, Mwanza mjiandae vyema

    Naona msiba umegeuka kuwa campaign za kisiasa kitu ambacho ni kinyume kabisa na maadili ya msiba.
  13. H

    Rais wa Nigeria amtaka Rais Samia Suluhu kurejesha umoja

    Andika kistaarabu sasa na sio kutoa maneno ya kashfa na matusi sio uungwana hata kidogo.
  14. H

    Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

    Kwani CHADEMA ndio inaunda serikali? Ushauri wake ni mzuri kwakuwa mtu akishakuwa RAIS anakuwa ni wa wote na si RAIS wa CCM pekee. Hivyo huu ushauri alioutoa sidhani kama umekaa kinafiki isipokuwa tu umetolewa na mtu mwenye mlengo tofauti na CCM. Hiyo ndio shida.
  15. H

    Kwa huu uzushi Serikali ipige marufuku mahindi kwenda Kenya, badala yake mahindi ya ziada yatumike kuzalisha vyakula vya mifugo

    Sikiliza ndugu yangu. Unayoyasema inawezakana yakawa na ukweli na yanaweza yasiwe ya kweli. Jambo la msingi linalotakiwa kufanywa hapa ni kurudisha mahusiano mazuri na Nchi jirani kama ilivyokuwa katika utawala wa Kikwete. Nasema hivi kwasababu kubwa moja, tukiendelea kutumia nguvu kutatua...
  16. H

    Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

    Kwa kweli ni vitu vya aibu sana ktk Taifa letu kadiri siku zinavyoenda na vituko ndio vinazidi kuongezeka. Sijui ni nani atakayetuokoa ktk hili janga.
  17. H

    Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

    Johnthepabtist bado nasisitiza kuendelea kukuunga mkono pamoja na wewe kuwa ni CCM. Penye ukweli lazima usemwe bila kujali tofauti ya itikadi ya vyama. Yeye Ndugai anavyofanya anahisi kama anamkomoa Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA; kumbe anawekera na kuwakomoa watu wengi sana walio na...
  18. H

    Twaha Mwaipaja: Tulisafirishwa usiku wa manane kama mateka wa kikoloni na pingu mikononi

    Ndio maana aliitwa aende kujieleza ili wasikie kilichomsibu. Sasa amekataa kwenda. Ulitaka kamati kuu ifanyeje zaidi ya kuchukua maamuzi!
Back
Top Bottom