Search results

  1. K

    Msaada TCU, HESLB: Naweza kubadilisha course?

    watu wengine wajinga,anataka tujue kama amechaguliwa,nadhani wewe ni limbukeni au umefika A-level kwa kuunga unga tu,kwani walimu siyo binadamu,**** nini?
  2. K

    Tuipongeze serikali, na Ngeleja kwa ushindi huu dhini ya mafuta

    Ahaa namshangaa anayepongeza serikali kwa upuuzi huo, leo mbeya tumetembea kwa mguu, vituo vya mafuta vimegoma kuuza mafuta.
  3. K

    Kwa mabinti naomba msaada wenu

    Ahaa tunachanganyana,kwani kama uliingia bila ndom ulitegemea nini?wewe vipi,hilo limekuganda.
  4. K

    Mkullo: Uchumi wa Tanzania umeporomoka; Kila mtu atakula kwa jasho lake

    bongo hakuna proffesor wa uchumi wa mchumi,uzushi mtupu
  5. K

    JK: Tanzania kujenga reli ya kisasa ya kimataifa

    huyu bwana nadhani akachunguzwe, alihaidi atajenga barabara ya kupita hewani,imeishia wapi?leo amekuja na ndoto za kujenga reli, ahaa hii balaa bora uzaliwe mbwa ulaya si bongo.
  6. K

    Eti Kikwete acharuka!

    hakuna jipya lolote,tusibiri miaka yake mitano iishe,tuone na mwingine atakuja kwa giza au kiza. JK hana jipya tena.
  7. K

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Mimi mwenyewe nashangaa wanamwita waziri mkuu mstaafu,nadhani tungejibiwa na wataalamu,kustaafu ni nini na kujiuzuru maana yake nini,nimesikia juzi alipoenda Loliondo walidai waziri mkuu mstaafu, tujibuni jamani
  8. K

    CHADEMA acheni usharobaro

    kama hauna vya kutuandikia uwe unakaa chini,mambo ya udini na ukabila yanakujaje hapo,je hao mafisadi hawana hayo mambo,wee vipi
  9. K

    Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

    naomba mtufafanueli PAC,POC, LAC ndiyo nini sio wote wanasiasa :twitch:
  10. K

    CV ya Mkulu wa Bangoi (JK)

    Wana FR naomba mnipambanue,mbona nasikia akina Ridhiwan yule mama Salma si mama yao,au amezaa wote 8 na mama Salma alafu kuna wengine waliozaliwa na Ridhiwan basi atakuwa ni balaa,kidume cha mbegu,alafu elimu yake itakuwa haijamkomboa watoto wote wa nini usawa huu. CV yake haitishi...
  11. K

    Nani aijenge na kuipigania Tanganyika kama siyo Watanganyika!?

    Nadhani hatujalaaniwa wote,waliolaaniwa ni washabiki wote wa CCM na wanachama wote,wanaoshobokea Tshirt na Kofia.
  12. K

    Elections 2010 Watanzania tusikubari propagannda hizi! Ni hatari sana!

    Naomba tusubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ndo mtajua nani mdini kati ya Slaa na JK.
  13. K

    Elections 2010 Wana CCM Newala Wampongeza Rais Kikwete kwa Ushindi wa Kishindo

    Nadhani hao ndugu zangu kwanza hawana cha kufanya,alafu kishindo gani hicho kwani asilimia 61 na asilimia 80 za mwaka 2005 kipi kishindo?tuwapeleke darasani wakasome hesabu za sehemu na asilimia.
  14. K

    Elections 2010 Matokeo sahihi ya uchaguzi mkuu Tanzania 2010

    huyu jamaa anatuchanganya,inabidi tukampime akili nadhani kuna kaugonjwa kanamnyemelea.
  15. K

    Anne Semamba Makinda's Profile!

    Nawashukuru kwa kuleta cv ya anne makinda, naomba anayejua historia yake vizuri atueleze je speaker wetu ana mume na je ana watoto?
  16. K

    Wanyakyusa, Wachaga na wahaya kuna nini?

    Nyerere alichokiongea ni kweli,hawa jamaa zetu wana ukabila sana alafu umewasahau na wahaya,kama ndo wahaya wanaonekana wamesoma kuliko wote kumbe ni sababu ya expose iliyopo sababu ya kubebana,akiwa waziri utakuta hata mfagizi ni kabila lao. Naunga mkono asilimia zote.wanyakyusa,wachaga na...
  17. K

    Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

    Yote yana mwisho jamani,na nadhani mwisho ni 2015,muombee adui yako aone mafanikio yetu
  18. K

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Mimi nina muda mrefu simsikilizagi kilaza kibonde,nadhani kwanza tuangalie elimu yake ikoje?au ni kada wa ccm maana mara nyingi kwenye hafla za ccm anakuwaga mc.
  19. K

    Kwa nini watuhumiwa wa ufisadi wana nguvu sana ndani ya CCM?

    Ama kweli ufalme wa mbingu watafika wachache,lakini wakumbuke kilio cha wengi ni kilio cha mungu,kila jambo lina mwisho,wako wapi akina kumzu banda na wenzie,lakini poa tu kila jambo lina mwisho
  20. K

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Ahaa nimeipata hiyo. kweli pesa za ufisadi zinafanya kazi,lakini namshauri Mh. SITTA asubiri mwaka 2015 aje achukue form za uraisi,ila sasa wale wanawake wataweza uspika au ndo kubeba mafisadi,HAKUNA BUNGE litakuwa la ajabu kama hili.
Back
Top Bottom