Search results

  1. nyondoloja

    Msaada wa vitabu

    Jf msaada wa kudownloads vitabu kama inawezekana Biological Scisnce (B.S) Chand of physics (x11&x1) Chand of chemistry (X11&X1) Nelcon of physics Roger of physics Rogers of biolog nk mwenye link ya kudouwnloads vitabu anisaidie
  2. nyondoloja

    ipe tiv yako uhai free tv toka kenya

    jf wazima. toka jikoni Satllite ku NSS 12 at 57.0e [11026H11436 utapata ntv,qtv,ktn,kass tv,family1,family2] [11556H3299 utapata k24] kama utakumbuka zamani kbc tv na zuku walikua wanapatikana kwenye hii satellite kwa sasa jipatie uhondo tena free tv
  3. nyondoloja

    Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    JF wazima? Pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. Dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3 ukituli hadi CBD 4 Angalia hi picha nilivyo funga hapa nyumbani Tuanze na hii chini 36.0e kwenda...
  4. nyondoloja

    Msaada jf

    Nina laptop DELL Vostro ambayo ina windows 7, namimi nilikuwa nataka kuitoa windows 7 niweke windows xp lakini inagoma kuload windows xp Naomba mnisaidie nifanyeje ili niweze ku load windows xp?
  5. nyondoloja

    Watalam hex key

    wengi tunapenda kuangalia chanel nzuli za michezo talif nk tatizo vipato inasemekana kunanjia ya kufunguwa hex key aina zote kwa galama ndogo mf conax nk mwenye maujanja tafadhali
Back
Top Bottom