Search results

  1. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Poleni sana Wakuu., mna kazi kubwa ya kuelemisha na kufundisha, sio kazi ndogo,
  2. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ila Valverde ni chuma sana yule kijana, ni muda wote anakimbia tu, huoni dalili ya kuwa amechoka ama kulalamika, sishangai kuona kila game anaanza.
  3. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Goli za usiku ni tamu sana, haswa zikiwa ni za ushindi
  4. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    FT:Real Madrid 3-2 Barcelona
  5. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hana cover kama mwenzie Vazquez, kule yupo Valverde na Rodrygo, huku kushoto Camavinga yupo peke yake., so ni lazima azidiwe.
  6. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hatuna watu sahihi wa kufanya hiyo kazi Mzee, Mipira mingi inadondokea kwa Vini na yeye huwa hana pasi za mwisho nzuri kwa wenzie., hapo labda Ancelloti amrudishe kati na Rodrygo atokee kushoto.
  7. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kipindi cha kwanza kimeisha, kiukweli hatujacheza vizuri, vijana wamekosa umakini sana haswa kwenye ukabaji wa mipira ya adhabu, watu hawaruki sijui shida ni nini.,
  8. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    HT: Real Madrid 1-1 Barcelona
  9. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hawa leo tunao sana,
  10. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Siku nyingine Carlo asifanye maamuzi ya kumpa Vini kupiga penalty, sio mpigaji mzuri
  11. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Leo tuna viungo 6 uwanjani kwa pamoja, acha tuone game itakuwje.
  12. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Carlo leo ameanza hivyo, Carvajal na Mendy leo wameanzia kwenye bench, ninadhani ni kutokana uchovu, badala yao, yupo Vazquez kulia, na Camavinga yupo kushoto, wakati huo huo Tchouameni amerudi kwenye kikosi, lakini akiwa na Rudiger kwenye ulinzi., HalaMadrid
  13. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hasta El final #HalaMadrid¡¡
  14. C

    Unamkumbuka Mr Ebbo kwa kipi?

    Sio mbaya Wakuu kama mkituwekea na baadhi ya nyimbo zake hapa. Ninakumbuka tulikuwa na Album yake home, Mi Mmasai
  15. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hiyo ni hatua ya mtoano kijana, hakuna atayekumbuka kama ulipiga pasi ngapi ama ulimiliki mpira kwa asilimia ngapi, kinachoangaliwa ni nani amesonga mbele tu basi.,
  16. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    TAA ana miaka mingapi? Upande wa Carvajal tunahitaji mtu kweli wa kumsaidia, japokuwa Vazquez amekuwa akiziba hiyo nafasi vizuri sana.
  17. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tulichoona kwa Lunin mpka tukamsajili, leo amekionyesha. Sikuwa na wasi wasi nae kwenye ishu ya penalty.
  18. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mkuu umepotea sana., enjoy man
  19. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hahaha., tumewarudishia sasa mtu wenu mkapambane huko sasa., shida mtaweza kumzuia asichukue Kombe?
Back
Top Bottom