Search results

  1. F

    Aibu nyingine ya serikali: Haina pesa kuendesha mitihani ya Taifa kidato cha pili mwaka huu

    ni shule ya wapi hii? hakika nimesikitika mno.Nape kaiona? maana yuko mstari wa mbele kueleza mafanikio yao binafsi ya miaka 50 ya uhuru. nawapa pole hawa watoto na kuwatia moyo kwa hali hiyohiyo wasome kwa bidii na mwalimu wao ataingia mbinguni
  2. F

    Ofisi ya David Cameron yakataa tuhuma za kushawishi ushoga

    umesema kweli kabisa watu milion 40 hivi kuna mashoga wangapi? wazungu wana matatizo ya fedha kwa wakati huu hivyo kutishia kuacha kutoa misaada kwetu maana yake fedha chache waliyo nayo itumike kwao. sasa ili kuzuia viongozi wetu kwenda kuomba ndo wameweka sharti. mimi binafsi siono kama kuna...
  3. F

    Bibi harusi ajifungua kanisani

    excellent. one of the partners will hate the baby to the grave because of their impatience.
  4. F

    Kufanya mapenzi na HIV +ve Partner

    nimeyaona madhara ya ukimwi hadi natetemeka unaposema kufanya mapenzi na mtu unayefahamu kabisa kwamba ameathirika. mimi nakushauri kuepuka kabisa na kama unataka kuishi kuacha kabisa ngono. ipo faida kuliko hasara. ni maumivu makubwa mno
  5. F

    Mnyika azuiwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

    mie huwa namhurumia sana Mheshimiwa Pinda ukifika wakati huu. sipendi kumbeza sana lakini nafasi ile inamfaa mheshimiwa Magufuli. binafsi namwomba Mheshimiwa Mnyika amsamehe tu waziri mkuu kwani kazi hiyo ni ngumu sana kwake.
  6. F

    Be aware of CocaCola

    hakika niliposoma nilitetemeka lakini huyu aliyesema changanya na za kwako kanirudisha nilikokuwa. nakunya pepsi angalau moja kwa siku tena ya baridi. bado sijaona dalili za kuyeyuka mifupa
Back
Top Bottom