Search results

  1. K

    Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

    Nyie ni nyumbu kweli kweli sasa wanashangilia munashidwaje kuwauliza,?
  2. K

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Tukiacha mambo ya ushabiki na kama katiba ingeluhusu naona mbowe ndoo anafaa jamaa huwa hatabiliki.
  3. K

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Mbowe kaamua kuinusulu ccm kwa kumleta lowassa.asiye weza kujenga hoja mtu Zaifu kimkakati.ccm ilitakiwa ikutane na slaa ndoo ingechambuliwa uchafu wake. Ndio maana watu wengine tunaamini mbowe ni ccm
  4. K

    Kuanguka kwa Kafulila, Ole Sendeka, Wenje na sakata la ESCROW Vs kurudi kwa Muhongo na Tibaijuka

    Sendeka ataludi kama mbunge wa kuteuliwa. Kwa kafulila Imekula kwake
  5. K

    Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Sasa wewe ulitaka tumupigie kura fisadi lowassa. Fisadi limekatwa tu. Lingeuza nchi tu
  6. K

    Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Hapo kwenye umoja wa kitaifa umekosea sana. Hapo ni kazi tu mambo ya umoja wa kitaifa Haiwezekani
  7. K

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Acha waingie barabarani wakutane na police . wengine tumesha ludi kutafuta liziki za family . wengi wetu tunaamini siasa hadi 2020 sasa hivi ni kazi tu
  8. K

    Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

    Wewe subili tinga tinga lingie ikulu wote wanao sapot hilo fisadi lowassa na lowasa segerea inawahusu
  9. K

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Cdm wamechanganyikiwa hawaamini kicho wakuta wanaona maluwe luwe Mliambiwa makomeo ni mziki kubwa mkalekata mtu mwenye madoa doa sasa yamewakuta
  10. K

    Nyumba ya Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia yateketea kwa moto

    Jamaa zetu wasiwe wameipiga kibiliti ili kumtoa kwenye game
  11. K

    Sheria ya mita 200 inatekelezeka kweli?

    Hao ni vibaka tu acha wajifanye ngangali wapigwe risasi . hawana family na maisha yamewapiga kwahiyo wanatafuta jinsi ya kufa
  12. K

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Acha roho mbaya mimi na wewe tuko njia moja.kumuombea mtu mabaya hiyo sio sawa .hii ni siasa tu baada ya uchaguzi hayo mambo ya kutompenda mtu kisa siasa haisaidii chochote
  13. K

    Ni bahati ya CCM kwa CHADEMA kuishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi!

    Umewashitukia kweli Inaonekana kama feki
  14. K

    Picha tu: Lowassa Mwanza

    Watu wengine huwa wanafuta mkumbo, hawana mda wa kupima hoja za wagombea wao tayari wana vyama vya . yaani Akili zao wameshikiwa na vyama vya siasa
  15. K

    Picha tu: Lowassa Mwanza

    Hata kama baadhi hatuipendi cdm lkn ukweli utabaki kweli . Mwanza ilikuwa imependeza.lkn sera ndoo zero.kwa watu walikuwepo wakutosha haswa
  16. K

    Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

    Kubenea huyu jamaa ni muungo kuliko muhongo. Alivyo kuwa anamwandika vibaya lowassa siamini kama sasa hivi anamwandika vizuri. Hapo ndipo anadhihilisha yeye ni bigwa wa uongo
  17. K

    Mbowe rudisha hela zetu

    Kuna watu wanatakiwa wakapimwe Akili utadaije, huku kwenye mtandao? Ulisha ambiwa mbowe ni born town. Kwani mbowe alilazimisha watu kuchangia?
  18. K

    Mengi akanusha habari zinazodai 'amejitoa rasmi kwa Lowassa'

    Mengi nae anavibwanga. Kwani kura yake si moja tu yeye atulia atampigia amtakae.
Back
Top Bottom