Search results

  1. N

    Barabara zenye viwango na imara Tanzania

    Hizi Barabara za Lami CCM wanazotamba nazo zinatuharibia magari, ni heri barabara za vumbi, nimetoka Singida kuja DSM kila baada ya KM chache wameweka Rasta, hizi Rasta zinaharibu sana haya magari yetu ya bei rahisi, wengine hatujamaliza hata mikopo. Hivi hamuwezi kuweka matuta ya kawaida na...
  2. N

    CHADEMA ni DHAIFU sana kiuongozi ngazi za Wilaya na Mikoa!

    Mi nakubaliana na wewe kabisa, nguvu ya CHADEMA ipo kwa watu wawili tu, freeman mboye na Slaa, ngazi ya chini hakina watu wa kukitetea, Kwanza mikakati yake ya kukuza uchumi haipo wazi na wala sijui kama wanayo, ni chama cha watu waliokuwa frustrated na CCM. Utendaji wa serikali ume boreshwa...
  3. N

    Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha?

    Watanzania tusiwe biased kwa kila kitu na kufuata mkumbo. Embu tujadili kwa kina ni kwanini tunapeleka watanzania nje kutibiwa, hivyo vifaa waeleze wazi ni zipi na tujue gharama zake, tunaweza kununua hata kidogo kidogo.
  4. N

    Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha?

    Muheshimiwa Rais ni kwanini unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka hapa hapa nchini ili kuonyesha mfano hata kwa wanasiasa kwamba wanauwezo wa kutibu badala ya kutumia ma milioni kupeleka...
  5. N

    Mtaalamu wa uchumi (CCM) apigia chapuo sera ya CHADEMA ya serikali ndogo

    Nimekuwa nikifuatilia kampeni za CHADEMA pamoja na mikutano yao ya hadhara, sijawahi kusikia mkakati wao kuhusu jinsi ya kukuza uchumi wa TZ, wimbo mkubwa wa CHADEMA ni ufisadi, sana sana namsikia mwenyekiti wao akiongelea siasa za majimbo. Kuna mfumuko mkubwa wa bei, sijawahi kumsikia katibu...
  6. N

    Wanawake mna tatizo gani?

    Play boys hiyo ni fani yao wanajua kucheza na saikoloji ya wanawake ndio maana huwapata kirahisi. wanajua maneno ya kwamwambia mwanamke.
  7. N

    Majeshi yetu yafunzwe kuheshimu raia

    Sijui hawa wanajeshi wana akili gani, kazi yao ni kunyanyasa wanachi na hakuna anae wakemea, hawana ustaarabu hata kidogo. Jambo dogo tu wameshatoa kichapo, mnawanyanyasa hawa wananchi hamjui wao ndio wanawalipa mishahara. hawa jamaa hawana kazi, wapeni kazi ya kuchimba mitaro kujenga barabara...
  8. N

    Ardhi Yetu? - Kwanini tunawakubalia wengine isipokuwa wa Afrika ya Mashariki

    Watanzania wengi hatujui matumizi ya ardhi, tuwape wakulima wa nje ambao ni wasomi, wasomi wetu wanawinda kazi za maofisini na wakulima wetu vijijini wanafanya kazi nusu saa kwa siku then wanapumzika muda wote kwenye mikeka. wengine mto unapita karibu na shamba yeye anasubiri mvua.
  9. N

    Is China taking over the world?

    China has a problem -- its population does not match its resources and gross domestic product. China's more than 1.3 billion people don't have the resources to adequately care for themselves [source: University Nebraska at Omaha]. This has led China to begin exporting its people, in a sense...
  10. N

    Elimu yetu haisadii chochote ni masifa tu ya kuvaa majoho

    Wewe endelea na evidence based. Hoja tunayojenga hapa ni je elimu ya Tanzania inaleta impact yoyote kwenye uchumi wetu? Kuna nini kwenye akili za wasomi wa tz? je wanaganga njaa au ni wazalendo wa kweli. Taasisi nyingi za serikali zinaongozwa na wasomi waliobobea Je utendaji wao unaridhisha...
  11. N

    Elimu yetu haisadii chochote ni masifa tu ya kuvaa majoho

    Wasomi wanatakiwa wawe wavumbuzi na wajenzi wa uchumi, kwa mfano ukisoma jinsi ndege ilivyovumbuliwa utashangaa, ilianza mwaka 1799-1913. Kila mvumbuzi alikuwa anajitahidi kufanya kitu, anakata tamaa lakini anaacha kijitabu cha theory zake. Kufikia mwaka 1913 wright brothers walipitia vitabu...
  12. N

    Mpango maalum wa CCM kuhusu madiwani wa CHADEMA

    CHADEMA wamejenga taswira nzuri kwa kuwafukuza madiwani walio asi lakini kwa upande wa pili wamejipa mtihani mgumu hapo baadae. Inawezekana imekuwa hivi: Mgome alafu watawafukuza, wakishawafukuza nendeni mahakamani, kesi itacheleweshwa na nyie mtaendelea kuwa madiwani halali, wakati kesi...
  13. N

    Lugha za kichina: Kuna haja ya kuingiza kwenye mitaala mashuleni?

    Wachina ni tofauti na wazungu, wachina wanauza bidhaa kama simu na kutafuta mali ghafi kwenye nchi zingine ni wao wa kujifunza hizo lugha husika. Wazungu wamejikita kwenye mambo ya utafiti na masuala ya demokrasia na utawala bora, kwa kupitia wazungu, wasomi wetu wanapata ajira kwenye miradi ya...
  14. N

    Elections 2010 Kwa hali ilivyo Bungeni, CCM bye bye 2015!

    Bye Bye ki vipi, kwani CHADEMA wameshajua jinsi ya kuzuia uwizi wa kura, wakina KIRAVU na species zao si bado wapo. Magamba wanawapenda sana CHADEMA kwa sababu kila ukiwaibia wanamuachia mungu.
  15. N

    Kiingereza kinachekesha zaidi ya kiswahili,kweli si kweli?

    Uchekeshaji ni fani ambayo inabidi uendee shule kama fani zingine lakini hapa kwetu hawajui hivyo wao kila kitu kipaji
  16. N

    Mgogoro wa muafaka wa umeya arusha, hili ni jaribio kwa chadema

    Inawezekana kabisa kulikuwa na mawasiliano kati ya madiwani wa CHADEMA na uongozi wa juu. Inavyoonekana uongozi wa CHADEMA umeona jinsi hili suala lilivyopokelewa na watu ndio wakaamua kutumia busara jinsi ya kuli solve. Watu wengi wameona sio busara kuwa na muafaka kwa sababu ya damu...
  17. N

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    Mimi nakubaliana na wewe, walikuwa wanasema zitto hafai kanunuliwa, leo hii wanamuona shujaa. Kwa mfano Arusha inawezekanaje madiwani kutoa maamuzi bila kuwashirikisha viongozi wajuu wa CHADEMA, mi nadhani waliwashirikisha lakini wanajifanya hawajashirikishwa. Tusubiri tuone.
  18. N

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Heri waje, Wabantu wamelala. Kazi ya mbantu ni kusinzia kila baada ya nusu, hawezi kufanya au kusikiliza kitu kwa nusu saa lazima alale.
  19. N

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Heri waje, Wabantu wamelala. Kazi ya mbantu ni kusinzia kila baada ya nusu, hawezi kufanya au kusikiliza kitu kwa nusu saa lazima alale.
  20. N

    Magufuli atuma salamu kwa Kikwete na CCM

    Ukitaka kujua barabara inatengenezwa na wa tz ni rahisi sana, kwa mfano wanafanya marekebisho, watachimba sehemu zilizoharibika ili kuweka lami, wakishachimba wataacha mashimo kwa miezi miwili au zaidi, hakuna alama zozote. Baada ya miezi miwili au zaidi, watakuja na mashine zao wataweka mabango...
Back
Top Bottom