Search results

  1. baraka lameck

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    tafadhar nijuze chanel gan iko hewan kwa hili
  2. baraka lameck

    CCM yaomba msaada wa Mkapa na Mwinyi kumnadi Magufuli

    naona unakosa hoja nakuuliza ikiwa sera ya upinzan ilikuwa nikupinga ufisadi na kupambana nawatu wanaoifilisi nchi yetu akiwemo lowasa leo unabadil sera eti shida ni system na kuwa alikuwa fisadi na mfilis wa taifa letu jana leo amehsmia kwenu eti tayar kawa msafi nyie damu yayesu?kama...
  3. baraka lameck

    CCM yaomba msaada wa Mkapa na Mwinyi kumnadi Magufuli

    ndo mana nikasema hujitambui unafata upepo walioitwa fisadi wakija kwenu wamesafika nyie hekalu kwani
  4. baraka lameck

    CCM yaomba msaada wa Mkapa na Mwinyi kumnadi Magufuli

    hawakuiba kama waliiba wapereken mahakaman si ndo sera zenu wakija kwenu oooo walisingiziwa oooo mwenye ushahidi aende mahakaman ,oooo chenge ngereja ivi ninyi mbona mnajitaabisha mkiperekwa kulia kushoto nanyuma mnakubal tu
  5. baraka lameck

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    hata geita wanatifuana kulikuwa na kambi mbili hatar kwa geita mjin na vijijin
  6. baraka lameck

    Kimenuka mwibara/Bunda

    afu uongo mtupu subilin mje muone wakurya hawatawaliw na mwanamke
  7. baraka lameck

    Kama hali ndio hii Simiyu, kazi ni ngumu kwa Magufuli

    acha kuhoroja weka hoja na usitoe povu sijaona ulichokisema kama siyo hasira tu, yaweza kuwa wewe hata hiyo division five huna may be una zero kama vipi leta cv yako nami niweke yangu
  8. baraka lameck

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    unamatokeo ya nkas magharibi na kusin kama unayonisaidie
  9. baraka lameck

    Kama hali ndio hii Simiyu, kazi ni ngumu kwa Magufuli

    nadhan hoja hiz siyo za kutujenga hata kidogo leta hoja za kimaendeleo nyie mnakurupuka kwa vijiwe vya kahawa afu huingii kwa ndani mimi bariadi naijua vizur naninajua magufur anakubarika zaidi bariadi kuriko huyo wakwenu ambae hawez hata kutembea fisadi mnaejidai kumsafisha utadhan nyie mmekuwa...
  10. baraka lameck

    Kama hali ndio hii Simiyu, kazi ni ngumu kwa Magufuli

    hahaaaaa mbavu zangu banemhi na mwaunkwaya je
  11. baraka lameck

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    mbona hukuhoji pia lilipokuwa limekomalia lowasa kuhamia chadema tatizo siku hiz watanzania hatutaki kuambiwa ukweli
  12. baraka lameck

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    nadhan hata wewe huna uhakika mwisho wa siku ukitulia utakuja kuamin
  13. baraka lameck

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    asante kaka umemwelewesha akumbuke pia kuwa lowasa alisemwa sana kwenye frontpage za magazeti juu ya kuhamia chadema na leo iko hivyo sasa badala yakukurupuka na kuleta wazo lakumshitaki huyu mhariri ajitahidi kuvumilia timewill tell
  14. baraka lameck

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    ni ajabu sana huyu mzee atatoa maelezo gan
Back
Top Bottom