Search results

  1. K

    Hivi kwanini wanawake wengi hawanaga nauli ukiwaita kwako?

    Ni utamaduni tu au sehemu ya ukarimu wetu Wanaume kama sio kimbelemble chetu. Lakini ukimfanyia ukauzu (sikushauri ufanye) utashangaa anapata nauli au hata Pesa ya kukodi UBER kurudi aliko toka. Pia nahisi huwa na kipimo cha upendo wa uhusiano wa Wallet yako na mahitaji yake tarajiwa endapo...
  2. K

    Ukijitambua utafika mbali sana

    Umejitahidi kunena kweli yenye mantiki, mafanikio au kushindwa ni zao la matokeo ya maandalizi na mipango binafsi. Ifahamike kuwa neno KUSHINDWA limetumika kama uzoefu wa kujaribu mambo kwa njia tofauti tofauti Wagunduzi wa Vitu vingi tunavyo tumia leo walipitia KUSHINDWA kuliko tunavyo fikiri...
  3. K

    Mtazamo wangu kwa Wanawake, Watoto waliotelekezwa kukimbilia kwa Makonda

    Duh ni kweli najua mwisho wa siku issue ya kubeba au kutobeba Mimba Mwanamke ana chances kubwa sana za kufanya maamuzi
  4. K

    Mtazamo wangu kwa Wanawake, Watoto waliotelekezwa kukimbilia kwa Makonda

    Naomba niende kwenya mada moja kwa moja kwa kuwa mengi yamesha semwa na kuandikwa pia 1. Tatizo la Mahusiano /Mimba zisizo na Mpangilio wa maridhiano Naona kuna tatizo kubwa katika suala la mahusiano ambao Mwanamke na Mwanamume hushiriki Tendo aidha bila kuchukua tahadhari au bila kujadili kwa...
  5. K

    TANROADS Dar, mashimo kwenye barabara maeneo ya Majumba Sita hadi Banana hamyaoni?

    Wahusika TANROADS Dar es salaam. Juzi huko Wilayani Igunga Basi la City Boy liligongana uso kwa uso na Fuso ambapo hadi sasa Watu 12 wamethibitishwa kufariki Dunia, nimesoma chanzo ni mashimo katika eneo la ajali. Leo asubuhi katika Barabara ya Pugu/Nyerere maeneo ya Posta/Majumba Sita...
  6. K

    Smart phone inauzwa bei ni 75,000

    Da Paulina seriously unauza Simu au kuna bidhaa nyingine iko coded kama Smartphone? Nashangaa hakuna description yoyote ya bidhaa ila kuna KARIBU KUUBWA ya pm? Mhhhhh
  7. K

    Tuwakumbushe Polisi: Hizi ndio sheria za usalama zinahusu bunduki zote na njia sahihi kuzuia maandamano bila kutuua

    Kipindi flani huko nyuma miaka kadhaa nikiwa napita njia. Binafsi mara baada ya kusoma uzi wako nimepata maarifa mengi sana kuhusu jinsi utaratibu unavyotakiwa kufuatwa. Katika kujenga hoja unatakiwa kufahamu at least abcd za utaratibu kinzani, nilishawahi kuwaona FFU wana Vitambaa vyenye Rangi...
  8. K

    Tuwakumbushe Polisi: Hizi ndio sheria za usalama zinahusu bunduki zote na njia sahihi kuzuia maandamano bila kutuua

    Ebua jazia hapo alipokosea haitoshi kusema tu karudie notisi zako, funguka zaidi weye ulie jaaliwa weledi mwingi ili nasi tupate notisi mupyaaaa
  9. K

    Mwanye kazi anipe plza

    Hongera kwa kuamua kutumia Mtandao wa Kijamii kutafuta Kazi. Ushauri wa bure 1. Rekebisha kichwa cha Mada kisomeke Mwenye Kazi anipe Tafadhali 2. Lugha za mkato kama "plza" zinaweza kukufanya usipate Kazi kwa Watu makini. 3. Jaribu kueleza uzoefu wako katika baadhi ya Kazi ulizowahi kufanya au...
  10. K

    Nimeamua kula sahani moja na wakufunzi wanaonyanyasa wanafunzi vyuoni

    Kudadekiii Wewe ni Mdada/Mwanamke Shujaa, nimependa Company yako walikuwa Baaaab kubwaaaa
  11. K

    Nimeamua kula sahani moja na wakufunzi wanaonyanyasa wanafunzi vyuoni

    Kama Mzazi na Mlezi wa Mabinti naunga mkono hoja, inauma sana kuona Mkufunzi anatumia vibaya madaraka yake aliyopewa na umma badala ya kumjaza Binti Maarifa, Weledi, Kujitambua na uwezo wa kujitegemea anamgeuza Mbuzi wa Kafara. Mapendekezo yangu 1. Anza kwa kuomba kila University au College...
  12. K

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Kwanza nakusamehe bure kwa kuanza kuropoka bila kutafakari, kumbuka hapa kila mtu anao uhuru wa kutoa mtazamo wake wa mawazo. Pili kwa mujibu wa jina lako kwa tasfri yangu binafsi naridhika na kila utakacho sema kwasbabu tayari unajieleza bayana.
  13. K

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Nimesoma makala iliyo andikwa hapo awali na ambae sasa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mteule kwa mtazamo wangu aliongea akiwa "open minded" kama ataendelea kuwa "open minded" anaweza kuisadia Serikali kufungua/kuendesha Kesi za Jinai na Madai zenye mantiki sio kukidhi matakwa ya Kisiasa au...
  14. K

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Haya sasa kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. K

    Mawakili 10 kufungua kesi ya kupinga katazo la maandamano

    Kiongozi asante sana, umenisaidia. Tuombe aweke nakala yake tuisome tujadili.
  16. K

    Mawakili 10 kufungua kesi ya kupinga katazo la maandamano

    Tukiona huo Mswada itapendeza zaidi
  17. K

    Mawakili 10 kufungua kesi ya kupinga katazo la maandamano

    Kiongozi (Area Fifty One) Ibara ya 19 Kifungu 3 Maudhui yake ni kuhusu " UHURU WA KUABUDU" Sidhani kama hili ni tatizo kwa Watanzania wala sitaki kuamini hao Mawakili Wasomi wanaenda kuomba Haki ya Uhuru wa kuabudu ambao SIONI kizuizi chochote hapa Tanganyika ukipenda Tanzania Bara? Ibara ya 19...
  18. K

    Mawakili 10 kufungua kesi ya kupinga katazo la maandamano

    Kiongozi ulimaanisha hii tusome hii??? 18. Kila mtu, (a) anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake; (b) anayo haki ya kutafuta, kupokea na kutoa habari bila kujali mipaka ya nchi; (c) anao uhuru wa kufanya mawasiliano na haki ya kutoingiliwa katika mawasiliano yake, na; (d) anayo haki...
  19. K

    Kuomba maombi ufanikiwe, upate mke/mme ni upuuzi!

    Hahahahahha kuna Nabii amekupiga changa la Macho? Funguka zaidi Kiongozi, siku hizi wanaita ushuhuda
  20. K

    Alhaj Musa Salum amewataka maaskofu waache siasa

    Naomba uweke Video au Audio nimsikie live kisha nitatoa maoni yangu
Back
Top Bottom