Search results

  1. BABA JUNJO

    Kwa hali hii kuna tatizo gani tukianza kutumia dolla kama medium of exchange?

    Wakuu nime fikiri sana nikizingatia hali ya kiuchumi na kisiasa ya nchi yetu na kuona hakuna tena stability ya fedha yetu na inazidi kuporomoka siku hadi siku. Sasa waswahili wana msemo usemao "kama huwezi kushindana nao ungana nao" najaribu kutoa wito kwa wanazuoni kuwa kama Watanzania...
  2. BABA JUNJO

    Mkono aja juu kuhusu Meremeta

    Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini pale Buhare ndio wana wakabidhi kwa serikali na wamechakachua kila kitu hakuna hat meza na viti...
  3. BABA JUNJO

    Ya RZ1 na Beno na Malisa na shigella ni maandalizi ya Urais 2015

    Uvumi toka jikoni unasema kwamba Kigogo anayetaka kiti 2015 (Simtajia) anataka kuimarisha nguvu zake ndani ya chama kupitia UVCCM. Na kitu cha maana na cha kwanza ni kuwa nguvu ndani ya Kamati kuu ya CCM(CC) ambayo Mwenyekiti wa UVCCM ni njumbe. Sasa Beno sio mjumbe wa CC. (Anakaimu nafasi ya...
Back
Top Bottom