Search results

  1. BABA JUNJO

    Edward lowasa bungeni

    Anaumwa hujui Hilo? Ana ugonjwa wa kisukari kwa MUDs mrefu na hivyo macho take hataoni vyema. Msameheni.
  2. BABA JUNJO

    Nani aliyetoa maoni haya?

    Comred, Hayo ni maoni ya Tume. Kazi ambayo walipewa kama tume ndo hiyo yaani kukushanya maoni na kuya analyise habari ya matumizi ya maoni hayo ni yenu watanzania. Ni kama utafiti hivi utafiti unafanya na mapendekezo yanatolewa ni mazuri kiasi gani ama ni mabaya kiasi gani yana tekelezeka au...
  3. BABA JUNJO

    sikubaliani kama walimu wana mgomo

    Serikali angalia jambo hili usitafute mchawi kutoka mbali mchawi unaye hapo hapo ulipo kaa. Tazama, walimu waligoma ukawachapa ukasema warudi hataka madarasani vinginevyo utafuta ajira zao, wakaogopa, wakarudi haraka lakini mgomo wao ulibaki mioyoni mwao. Matokeo yake ndio haya. Taka usitake...
  4. BABA JUNJO

    Salamu na Ujumbe wa Serikali vyazua Zogo Mazishi ya Fr. Mushi

    Acha watu waseme inatia uchungu
  5. BABA JUNJO

    Lowassa: Bungeni haongei, makanisani, kwenye mahafali na kwingineko msemaji mzuri!

    Kwa ujumla hana nyimbo mwacheni akapumzike south africa ambako amelimbikiza utajiri wa kutosha hapa kwetu hatufai.
  6. BABA JUNJO

    Namba yangu ya uanachama ni CDM 0442337; Deo Filikunjombe kura yangu ipo kwako

    Ishh! Sasa ndio awe rais? Unacheza wewe.
  7. BABA JUNJO

    Kwanini viongozi wastaafu wote wa Zanzibar wanauchukia Muungano?

    Hivi kama mke hakutaki ni busara kumng'ang'aniza? Iko siku atakuwekea sumu chakulani ati!
  8. BABA JUNJO

    Wananchi jimbo la Kalenga kuweni macho na usanii wa wabunge hawa

    Ukisema udiwani utaonekana mwoga gombea ubunge upambane naye. Lakini nikwambie kitu ndugu yangu hizi no siasa tu hata wewe ukiwa mbunge utakutana na haya haya unayoyasema kwa wenzako.
  9. BABA JUNJO

    mahakama ya kadhi yaiweka Tume ya katiba njia panda, watuhumiana kuchakachua maon ya wananchi?

    Jamani nchi hii haina dini. Mambo hayo yaende zanzibar maana wao ndo wanayajua sisi huku hatuna dini vinginevyo tume mtasababisha vurugu.
  10. BABA JUNJO

    Maalim Seif: Muungano lazima ujadiliwe

    Ni kweli kabisa koti likibana unalivua brother.
  11. BABA JUNJO

    Msafara wa magufuli waacha gumzo

    Namfagilia sana huyo bro na kama anataka upresidaa anastahili mpeni.
  12. BABA JUNJO

    Mtikila aibua mapya tume ya katiba

    Mtikila ni think tank. Anatazama mbele sana na haropoki akiwa na hakika na jambo analiamini na anashikilia hayumbi. Hongera sana baba mchungaji
  13. BABA JUNJO

    Hoja Mbadala: Kuna Umuhimu Wa Rais Kuunda Wizara Ya Wazee

    Mmmh! Baadaye mtasema wawe na uwakilishi bungeni. Kiukweli masuala ya wazee yako chini ya DSW (dept of Social Wellfare) chini ya wizara ya Afya. Tosha kabisa.
  14. BABA JUNJO

    CCM ni ipi na serikali yake ni ipi

    Kaka, hiyo ndiyo maana halisi ya siasa. Siasa si halisi bali ni ushawishi kulingana na hali halisi iliyopo. Ni kama kwenye midaharo ya masheni (debate) ukiwa opposer ni lazima ushinde hata kama issue yenyewe sio kweli. Ndivyo ilivyo kwenye siasa.
  15. BABA JUNJO

    Wachina wamiminika nchini, kulikoni? Immigration wanatoa vibali kiholela?

    Idara ya uhamiaji? Sidhani maana wahabeshi huingia bila kuomekana kutoka mpaka wa kenya mpaka wanafika mpaka wa nchi nyingine ya Malawi. Sasa kama hawa unaowataja wapo si wangewaona hata kabla ya kufika Tanga tu. Nchi hii bwana sijui ukoloni urudishwe? Maana ni kama tumeshindwa kujitawala hivi.
  16. BABA JUNJO

    Gesi asilia imetoa fursa kubwa kwa CHADEMA kujiimarisha maeneo ya Kusini Tanzania

    Najiuliza kama gesi ya songosongo au ya mtwara ingepatikana Moshi au Arusha ingepelekwa Dar? Maana huenda wenzetu wanajua namna ya kufikiri kuliko sisi haiingii akilini gesi ichimbwe mtwara ikatokee Dar kwa lipi Bandari? Mtwara poa ipo miundo mbinu? Ipi? Ah! Inat
  17. BABA JUNJO

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    MMJ nakusifu maana uko sahihi na hawa wengine ni washabiki tu wa vyama achana nao tunakwenda kwa facts wala sio nani wanapiga kelele nyingi. Big up MMJ
  18. BABA JUNJO

    Wazazibar kuweni wawazi semeni tu njaa inawasumbua

    Brother huo ni uchokozi waache watu waseme yanayojaza nyoyo zao.
Back
Top Bottom