Search results

  1. Elijah O

    Pastor Shepherd Bushiri, wife arrested for 'fraud & money laundering'

    JOHANNESBURG Controversial church leader Shepherd Bushiri has been arrested. A statement from the church says he and his wife Mary were arrested by the Hawks on fraud and money laundering charges. "As you will remember, from last year, we have struggled with reports that our father was guilty...
  2. Elijah O

    Mkopo toka loan board

    Wasalam, Ninamdogo wangu amechaguliwa Vyuo viwili cha kwanza alichaguliwa St Augustine Mwanza na akawaame confirm mkopo wake St Augustine baadae akachaguliwa Udom lakini yeye anapenda kusoma Udom je niutaratibu gani ambao humika kuamisha mkopo kutoka St Augustine kwenda Udom
  3. Elijah O

    Funzo kwa wenye michepuko

    *Funzo kwa wenye michepuko* [emoji116][emoji116] Kabla mahusiano yao hayajakolea jamaa akamkalisha chini huyu mdada na kumpa misimamo yake. "Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake nimekupenda Nilikwambia tangu awali nina mke na watoto. Nampenda mke wangu ndio maana nilifunga nae ndoa...
  4. Elijah O

    Hongera Mhe Rais John Magufuli kwa kugusa mpaka sekta ya michezo

    Naiona dhamira ya dhati kabisa kutoka kwa mhe raisi John Magufuli kupambana na kila uozo, Nikikumbuka kati ya Moja hotuba ya hayati baba wa Taifa Mwl Nyerere aliposisitza yakwamba yeye hatageuka na kuwa jiwe ( mwanzo 19) katika kuijenga nchi ya haki hivyo hivyo dhamira hiyo inajidhihilisha kwa...
  5. Elijah O

    Kauli ya kishujaa ya mhe. rais ziarani Simiyu

    Ukweli wakazi wa Bariadi watakukumbuka kwa suala la maji , ilikua ni kero kubwa ukizingatia wafugaji wengi wamepoteza mifugo yao kwa ukosefu wa maji pia hata wakazi wa Bariadi walikuwa hawana uhakika kwa kupata maji safi na salama. Sasa mradi wa kutoa maji ziwa Victoria utakuwa mkombozi kwa...
  6. Elijah O

    Draw ya leo kwa Yanga

    Naona kama Mr lwanda akianza kupaki vitu kuelekea kuitafuta treni ya Tazara ni muda na wakati utaongea
  7. Elijah O

    Mazingira mkoa wa Katavi inatishia

    Hali ya mazingira katika mkoa huo inatiashaka kwa mustakabari wa taifa letu tutakua tuna lalamika upungufu wa mvua ongezeko la joto hii inatokana na uvamizi wa watu na shughuri zao za kila siku zamani ulikua ukipita na tren jioni au asubuhi lazima utaona wanyama pori wakiwa wanachungia...
  8. Elijah O

    Shutuma ya wachezaji wa Simba sc

    Nimemuona Mwenyekiti wa usajili wa simba Mzee wetu Pop akilalamika juu ya wachezaji kucheza chini ya kiwango kiukweli ukiangalia kiufundi wa mpira wachezaji wamejitahidi mpaka kufikia lakina Mwenyekiti anasema wale wote waliocheza chini ya kiwango watatafutiwa mbadara wao hii itapelekea...
  9. Elijah O

    Eneo linauzwa Dodoma

    Eneo linauzwa Linaukubwa was square metre 6000 lipo dar es salaam road kwa anae hitaji ani pm
  10. Elijah O

    Vodacom na gawio

    Menejimenti ya voda inabidi iangalie mchakato huu wa ugawaji wa gawio .Jamaa hapa kijiweni amelalamika sana anavyodai yeye ni MTU mwaminifu kwa matumizi ya M-PESA kiasi alivyochukua statement take voda shop alionesha anaitumia sana sasa anachoshangaa iweje gawio apate Tsh 910 akilinganisha na...
Back
Top Bottom