Zipo taarifa nyingi kiasi cha kutukanganya wananchi tunaoumia kutokana na mgomo wa madaktari!!! Ziko habari kwamba baadhi ya madaktari wanaendelea na mgomo wakati zipo habari kwamba wengine wamesaini kurudi kazini kuitikia agizo la waziri mkuu lakini baada ya kuaini wanaingia...
Kujaribu kuwafanya watanzania waamini kwamba Disemba 09, 2011 tunasherehekea miaka 50 tangu kupata uhuru ni kupindisha historia kwa maslahi ya nani????????? Ni nani tunajaribu kumdanganya kama si sisi wenyewe??????????
Mimi ninayeandika thread hii nilikuwepo usiku wa 09.12.1961 wakati bendera...
Baada ya kusainiwa tarehe 01.12.2011 huo mswada wa sisiemu/kafu mbinu zile zile za kutumia UWT zitatumika na within no time katiba mpya hiyo hapo!!!!!!!! Kama wakati ule hakuna aliyekohoa leo nani atadiriki!!!!!!!!! JF tusiganganyane na maneno mengi ambayo ni ya simple minds kujadili watu bila...
Utakuwa muujiza wa kipekee kama tatizo la umeme lililodumu zaidi ya miaka 6 litatatuliwa kwa wiki tatu!!!!!!!!!!!!!!!
Watalindana lakini hatimaye kilio kitawafichua tu!!!!!!!!!!!!!!
****** na ngeleja wake ni wazao wa Rostam; wanangoja nini wakati mzizi umekwisha ng'oka???????????
Sikuamini masikio yangu niliposikiliza katika runinga ya TVZ mmoja wa wachangiaji akitoa maneno mazito sana kwa jazba akiuita mswada huo kuwa ni batili na kutoa tahadhari kwa wabunge wa Zbr katika bunge la muungano kwamba wakiupitisha mswada huo wasirudi ZBR!!!!!!!!!!!!!!??????????? Hapo...
Kuna somo kubwa kwa watanzania kwa muswada uliopelekwa bungeni kuhusu hoja ya kuandika katiba mpya!!!!!
Kwanza Kongamano la UDASA siku ya Jumamosi tarehe 2, Machi 2011, liliacha waTz midomo wazi, wakishindwa kuelewa dhamiri ya yale yaliyoandikwa ndani ya muswada huo!!!!!!!. Ilionekana...
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!
1: Muhimu katika habari kubwa na tamu za leo Jumatatu Aprili 4, 2011 - Kumbe kikombe cha Babu wa Loliondo ni USHIRIKINA!!!!!!
2: Rais na waziri wake wa sheria watofautiana na muswada wa katiba wanaowasilisha bungeni wiki hii - kwa waliofuatilia kongamano la...
Kongamano la UDASA jana Jumamosi tarehe 2, Machi 2011, limewaacha waTz midomo wazi, wakishindwa kuelewa dhamiri ya muswada huu!!!!!!!. Haiingi akilini kwa serikali yenye nia njema na mustakabali wa nchi kuweza kuandika muswada kama ule!!!!!!!!.Ni dharau kwa waTz;
Mimi nina maono yafuatayo:-
1...
Kwa zaidi ya mwezi sasa media zimetulisha kiasi cha kutuvimbisha akili habari za Loliondo-sijui taifa limefaidika nini zaidi ya kuchochea maafa ya wanaokufa kwa sababu ya kujazwa matumaini matupu (empty hopes) kwa kudhani ni imani ya uponyaji wa mungu asiyejulikana!!!
Kwa ratiba ya vikao vya...
Inashangaza viongozi wa dini kuona hili la CDM kuandamana ndiyo inatishia amani na kulikoromea, lakini wananchi kwa makumi yao wanakufa kila siku Loliondo kwa visingizio vya tiba isiyo na leseni wala uthibitisho wa kitaalam huku serikali ikisherehekea hawa viongozi kwao si tatizo...
Hebu fikiria matokeo ya form four ya mwaka jana, kwa trend hii kwa miaka 5 au zaidi Tz itakuwa taifa la wajinga zaidi ili mafisadi akina RA waendelee kutawala-hii ni mbinu tu za hawa jamaa-make them fools to rule them for life. Sasa hivi wanasuka mbinu za kuteka matokeo ya uchaguzi wa 2015 kama...
Source: Gazeti mojawapo la leo 7.3.2011
Kwamba katika muswada wa kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya utakaowasilishwa katika kikao cha bunge kinachoanza 5.4.2011 serikali itazingatia hoja zote za msingi wa demokrasia kama alivyoainisha Mbunge wa Bunge la EU, Mhe. David Martin katika...
Kikao cha bunge cha mwezi Februari 2011 kimedhihirishia Watanzania kwamba spika Anna Makinda na wabunge wake wa sisiemu wana dhamira ya kukandamiza kwa lengo la kuua nguvu bungeni ya upinzani wa kweli nchini. Hii inatokana na mambo makubwa mawili yaliyojitokeaza zaidi:-
1) Kunyamazisha kwa...
Hivi Mzee Ali Hassan Mwinyi kukubali kuwajibika wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani halikuwa somo kwa taifa????????? Tujifunze nini kwa mtoto wake kutamka kijeuri kwamba hajiuzulu kwa suala nyeti hili la majanga ya kitaifa ya Mbagala na G/Mboto katika uongozi wake??
Jibu la rahisi ni tabia...
Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies!!!!, .....uchaguzi mkuu wa 31.10.2010 uliojaa uchakachukuaji wa wabunge batili 19 na rais batili!!!!,...rais...
TUJIKUMBUSHE WATANZANIA!!!!!!!!
Watanzania Je! Si Bora Tukaongozwa na Hekima Kuandika Katiba Mpya?????????
Kwa mawazo yangu bado naona CUF wana agenda yao na suala la Katiba Mpya!!!????; sababu zangu ni hizi hapa:-
1) Katiba, sheria mama, kimsingi ni suala la bunge-chombo cha kutunga...
Ikionekana kwamba pressure ya sakata la Dowans inaelekea kupeleka taifa kwenye giza zaidi, haiwezekani yakafanyika malipo kinyemela, na jambo hili likazimwa kwa magakama kutoa uamuzi kiini macho????????????????? Lisemwalo lipo............!!!!!!!!!!!!!!
1: Kwa mara ya kwanza Serikali Kivuli ya CDM bungeni kuzinduliwa!!
2: Masakata ya kutikisa bunge:-
(a) Dowans; (b) Katiba Mpya; (c) Tume Huru ya Kuchunguza Matokeo ya 31.10.2010; (d) Hotuba ya rais ya kufungua bunge; (e) Tukio la Arusha; (f) Maadili ya kitaifa na ufisadi; (g) nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.