Search results

  1. M

    Spika wa Bunge kutengua adhabu ili wabunge wahudhurie Hotuba ya Rais

    Magoli ya mikono hii hapa !!!!!!!!!!:- 1: Goli la kwanza: Katiba pendekezwa------- gooooooooooooooool 2: Goli la pili hilo limeingia:Miswada ya gesi..... goooooooooool 3: Goli la tatu hilo laja kwa kasi- sijui kama refa ataona faul kwenye penat eria...
  2. M

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    Huyu hana shukrani maana hapimi nguvu ya chama chake kwamba ni kama hakuna kitu sasa apewe nafasi nyingi kwa msingi gani?. Huyu kama sikosei ni pandikizi wa sisemi na anaelekea kisha kabidhiwa burungutu tosha ili aanze kuchanganya watu dakika za mwisho. Pia inaelekea hata kusoma alama za nyakati...
  3. M

    Watangaza nia wa CCM wamejisahau kama wao ni watawala

    Thread yako imenikumusha jinsi misemo ifuatayo ilivyotumikamiaka ya 2005 na 2010 kufikisha Tz hapa tulikofika ambayo kila mwomba ridhaa anatumia kama nguvu ya hoja: KASI MPYA !!!!!; NGUVU MPYA !!!! ARI MPYA !!!!!. Watu wale wale; mfumo ule ule, sera zile zile !!!!!!. Tatizo la msingi ni mfumo...
  4. M

    Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    Mawazo ya Kakobe na watu wake juu ya siku ya uchaguzi ni udini. Siku sawa kwa watanzania wote bila kujali tofauti zote ni kufanya NYERERE DAY kuwa siku ya chaguzi zote za kitaifa. Hii itakuwa ukumbusho na hisytoria katika kumhenzi Baba wa Taifa letu. WanaJF sijui hii mnaonaje?
  5. M

    CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

    Anafanyia wapi??????????
  6. M

    CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

    Amaa kweli vijana wakiamkawazeetukae mbali wasitukwae!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Ikulu kwa kura za Monduli peke yake uliona wapi wa kwetu? This is wishful thinking!
  8. M

    Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State!!!

    bila kuthibitisha kwa maandiko ni porojo zisizona uhai wa kiMungu. period
  9. M

    William Ruto ICC trial thread.

    By appearance the lawyer Khan looks to be a wise lawyer but in action before the ICC Court he sounds barbaric and out of justice balance because he calls all witnesses to be liers. How sure is he sure his legal tactics are not interpreted by the ICC judges as being hostile and out of legal...
  10. M

    Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State!!!

    lugha ya kijiweni ili uelewe. majibu yako yanaonyesha umepata ujumbe; safi sana!!!!!!.
  11. M

    Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State!!!

    wewe na wenzako wenye mawazo kama yako nawapa pole kwa sababu ninyi siyo majaji wanaosikiliza kesi hii. ndiyo maana mmetumia kila hila kesi eletwe karibu ili mnyonge wanyonge kama mlivyonyonga matokeo ya uchaguzi wa urais. Kesi imeanza hamna ujanja kuisimamisha hata kama mkiwatumia wabunge na...
  12. M

    Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State!!!

    Soma maandiko yaliyonukuliwa. Kama hujui kwamba Mungu anasema nasi kwa Neno lake usipoteze muda wako maana hata pagani anajua hili. Wewe na wale wanawaombea wahalifu hawa mko sawa tu. Damu za wakenya zinamlilia Mungu kama damu ya Habili aliyeuawa na ndugu yake kaini.
  13. M

    Uhuru and Ruto ICC cases: The Wicked abuse of the Kenyan State!!!

    Kwa watu wote wapenda amani ya mungu na ulimwengu wa haki; ufuatao ni msimamo wa mungu kwenye kesi hii ya kenya na ulimwengu kwa ujumla: Katika biblia kitabu cha mwanzo sura ya 4 mistari ya 8 hadi 11 kwamba damu ya habili ilikuwa inamlilia mungu kiasi cha kumfanya mungu amuadhibu vikali...
  14. M

    Bunge la Kenya laamua nchi kujitoa katika mahakama ya ICC.

    Hizi bunge na senate za jubilee wana matatizo ya kutoona mbali. Uruto wako the Hague hiyo sheria kamawataipitisha kwa tyranny of numbers Uhuruto watatia sahihi kuwa sheria? Hawaoni hii itakuwa ni kuwafanya Uhuruto kukana commitment yao kushirikianana ICC ? IKO KAZI VIONGOZI WA KIAFRIKA NA...
  15. M

    Bunge la Kenya laamua nchi kujitoa katika mahakama ya ICC.

    supported: Jamani tuwasaidie wakenya na janga la jubilee ambalo limejizatiti kuua msingi wahaki kwa wanyonge. Kenya imekwisha. Wanaposema judiciary mbona supreme court ipo lakini imenyang'anywa meno katika kesi tu ya kwanza.sasa kama kesi zauhuruto zitarudishwa kenya au tanzania ndiyo...
  16. M

    William Ruto ICC trial thread.

    NI AJABU NA KWELI !!!!!!! Tangu wabunge na senet akili yote kwa Uhuruto- hakuna hata mmoja anayezungumzia walioathirika!!!!!!!!!!!! Pia nashangaa na wanaotoa comments kuhusu matokeo wakati hata kesi haijafikia hata nusu!!!!!!! Vinginevyo ni kujifariji!!!!! Vinginevyo kinachoonekana ni ishara...
  17. M

    Bunge la Kenya laamua nchi kujitoa katika mahakama ya ICC.

    Hawa jamaa inaonekana kesi hii imewakalia vibaya kiasi kwamba kila mbinu inakwama. Sasa kama hata kesi yenyewe haijaanza ndiyo hivi; itakuwaje wakati wa hukumu. Sijui kama wanaelewa huu mpira wanaucheza na nani upande wa pili? Waliambiwa choices have consequences. Wabunge hawa wa Jubilee hawana...
  18. M

    About to release autobiography: The system was against me but I have moved on, says Raila

    Mbona wote waliofanya mabaya tumeona majina yao kwenye ripoti ya Tume ya Haki na Maridhiano? Wenye mawazo kama huyu mchangia mada ni watu ambao ndani yao wanamwona RAO kuwa tishio kiasi kwamba hata mema aliyofanyia Kenya kwao ni udhalimu but I tell you that history will shortly prove the reality...
  19. M

    Uganda President Yoweri Museveni has sensationally claimed that there is a plot to detain President

    Museveni ni mtu mwenye uchu wa kutumia maasi na mauaji kuendeleza utawala wa kidikteta. Mbona hataki kwake kuleta utawala wa katiba kutawala kwa kikomo kama miaka 5 mara mbili? Hii ya Kenya mbona kaichachamalia utadhani ni Uganda? Mbona ya Kony anaonekana kuitumia kuendeleza utawala wa kiimla...
  20. M

    Kenya asks UN to end Uhuru, Ruto ICC trial

    Huyu Amb Kamau kwa kusema ni matakwa ya Kenya wakati VP ambaye ni mtuhumiwa na namba 2/ GoK kukana ni ishara ya mgawanyiko; hasa kama UK hatachukua hatua sawa na VP. Kumbuka "Kamau" ni sehemu ya upande mmoja wa walioathiriwa na upande wa pili wa VP aliyekana kuhusishwa. Lingine baya zaidi katika...
Back
Top Bottom