Search results

  1. mwanansao

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Maneno yamkosaji TB joshua atabaki kuwa juu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mwanansao

    Tunakoelekea huenda Mashahidi wa Yehova ikaja kuwa ndiyo dhehebu pekee la watu wastaarabu Afrika

    Nafikiri mwandishi usitufiche wewe ni mojawapo wa mashahidi wa jehova au utakuwa na homa ya dengue
  3. mwanansao

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Ila makafiri wenzangu wa kiislamu wanamatatizo sana kazi yenu ni kulia lia tu Ili ionekane mnaonewa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwanansao

    Tuwe wakweli hali ya wakulima wa korosho ni mbaya sana kuliko awamu nyingine yoyote.

    Hii ni habari ya uchochezi hakuna hata mtu mmoja anaeidai serkal kwenye korosho haoambao hawajalipwa ni watu wanaotumiwa na mabeberu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwanansao

    TRA,TFDA,TBS tazameni kwa makini hii pombe ya K-Vant

    Hivi mambo ya pombe unaandika humu huu ni ushamba wa kupitiliza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwanansao

    Ninafanana tabia na Rais Magufuli, naelewa sana anaposema anapenda kusifiwa

    Mimi nampongeza Rais kwa sababu ni msukuma mwenzangu,
  7. mwanansao

    Mikoa inayoongoza kwa Matumizi wa Mkuyati ku Boost Nguvu za Kiume

    Tabora upomti uliokuwa umeanguka miaka mitatu ukainuka tena huo mti waliutumia watu haikulala tena.
  8. mwanansao

    Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

    Tuliona mnajidai sana sasa tunataka tuwakomeshe tunataka wabara wahamie wengi ili huko tuendako zanzibar uwe mkoa na si nchi
  9. mwanansao

    Mnaojua mnaweza kunielekeza hivi tunaenda wapi kuhusiana na hizi biashara

    Wapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi zimefungwa biashara za machinga sasa nikama zimeanza kutoweka nafikiri tunako elekea siko hivi kuna nini?
  10. mwanansao

    Tabora: Polisi wametumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliokuwa wanadai watoto wao kutekwa

    Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha Polisi Tabora imetumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliofurika Shule ya Msingi Chemchem, wakidai watoto wawili wametekwa na watu wasiojulikana.
  11. mwanansao

    Hivi nani atakuja Kuwa rais wa awamu ya 6 mwaka 2025??

    Tuache utani wa kijinga hebu mtu mmoja aeleze mambo ya maana aliyoyafanya, Kwa sababu sasa hivi mfumo wa biashara hakuna kabisa Hali ya kilimo ni mbaya
  12. mwanansao

    Dr. Levy Anena Juu Ya Wema Sepetu.

    Wakati mwingine huwa nafikiria hotuba ya waziri mkuu wa israel unaweza ufikiri sawa,ijapokuwa si kweli mawazo yake,hivi sisi waafrika tuna akiri gani? Hivi wema ananini cha ziada hata hatulali kila ukisoma huku wema sepetu ana nini? Hivi tuliambiwa wema alikamatwa na misokoto ya bangi sasa...
  13. mwanansao

    Vatican ina utajiri mkubwa na haifanyi biashara yoyote ya kuiingizia kipato, kwanini?

    Haifanyi biashara unajua bei ya lisanamu moja linauzwaje?
  14. mwanansao

    Mwenye Ushahidi au Aliyewahi Kushinda BIKO na TATU MZUKA n.k atuaminishe hapa

    Mtu asikudanganye hakuna mtu anaepewa pesa hizo ni ujanja tu.kama huamini endelea kuliwa tu
  15. mwanansao

    Kigoma: Askari Polisi watatu wauawa kwa mishale

    Wasukuma hawajawahi kumwacha mtu salama
Back
Top Bottom