Search results

  1. Kulama

    Ji ukweli kuwa kuna Viumbe wa Ajabu wataiangamiza Dunia?

    Katika riwaya hii ya kusisimua ya THE DOOMSDAY CONSPIRACY, mwandishi Sidney Sheldon anatujuza kuwa Shirika la Ushushushu linalohusika kunasa mawasiliano la Marekani(NSA) linahaha kuhakikisha linawafahamu na kuwaangamiza watu wote walioshuhudia viumbe vya ajabu(aliens) au ( Unidentified Flying...
  2. Kulama

    Maalim Seif: Spika amepokea na kufanya uamuzi kwa supersonic speed akiwa nje ya nchi!

    Baada ya Ofisi ya Spika kuridhia uamuzi wa Chama cha Wananchi (CUF) kupitia mwenyekiti wake Prof. Ibrahim Lipumba, kuwavua uanachama wabunge nane wa chama hicho na kupokwa ubunge wao na kutangazwa kwa majina nane yaliyotangazwa kuziba nafasi zilizoachwa wazi, msikie katibu mkuu Maalim Seif...
  3. Kulama

    Wabeba mabango Tabora wamkera Rais Magufuli

    Ulisikia kauli hii ya Magufuli dhidi ya waliobeba mabango mjini Tabora? Ingia kwenye link hii >>>>
  4. Kulama

    AZAM TWO - HABARI JUMATATU 24. 07 . 2017

    Pata taarifa ya habari ya Azam Two ya Julai 24, 2017, iliyosheheni habari zifuatazo: Magufuli asema hatojali itikadi za kisiasa, Tanzania na Kenya zaondoa vikwazo vya kibiashara naTundu Lissu akosa dhamana, arudishwa rumande. Fuata link hii>>>
  5. Kulama

    Simulizi ya kuhuzunisha kubakwa kwa binti wa miaka 17 mkoani Lindi

    Watu wawili waliyojitambulisha kuwa ni waganga wa jadi wanadaiwa kumbaka binti wa miaka 17, huko mkoani Lindi na kutoweka, wazazi wa binti huyo wanaomba kubaini sababu ya kitendo hicho. Tazama video hapa>>>>
Back
Top Bottom