Search results

  1. N

    Joka mwenye vichwa saba

    Nadhani tunapotea sana kwa kusikiza vitu visivyo vya kweli!!!
  2. N

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Tulisha zungumza juu ya huyu jamaa muda mrefu na kama kuvumiliwa amevumiliwa sana. Simpendi sana mnafiki katika kazi!!
  3. N

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Zito apumzike huko CCM ndiyo kwake
  4. N

    Ofisa JWTZ ahofiwa kutorokea Rwanda

    Sidhani kama uko right sana hapa Vipi Professor Barack Obama yeye si Mkenya tu lakini sasa ni president wa YUESIEI
  5. N

    Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    jiulize je hayo siyo ya kweli. Sugu anaonekana kichaa lakini ukweli upo???
  6. N

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Our final destiny is not on the world but in heaven.Get prepared
  7. N

    Toyota Land Cruiser for Sale

    Nakubaliana na wewe na hii model kuiuza kwa bei hiyo nadhani ni wezi tu wana weza kuinunua
  8. N

    Sensa 2012: Yanayojiri

    Sio sifa ni upuuzi. Utakiona utakapokosa hati ya uraia. Mnaiaibisha Dini yenu tu
  9. N

    Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

    Dr Mwakyembe amethubutu lakini mambo bado pale Long room ni uozo tu. Sijui kama pataimprove kitu maana Mgawe et al ana watu wake pale. But the guy (Dr) has made an attempt ambayo JK mwenyewe ameshindwa. Inaweza kuwa mbinu ya kutafuta kukusanya pesa kwa ajili ya 2015 nani anajua???
  10. N

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    January looks dynamic lakini kwa kuwa antoka kwa chama kisichoaminika kinachokula rushwa hata mchana basi ni vigumu kumwani kijana huyu pia.La msingi Watanzania wameamka sana.
  11. N

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    My dear Tanzania unamalizika nakuona mama???
  12. N

    Makada wa CCM waongoza kwa wizi na Uhujumu wa Umeme Tanesco!!

    Ole wao after 2015 sipati picha kama utalawala ukibadilika
  13. N

    Paul Kagame hana hata Diploma, soma historia yake hapa!!

    Anajua kuwa kinachotakiwa ni Rwanda iende Mbele na inakwenda mbele kwani inflation ni less than 10 % na Tanzania ni over 15%, elimu yao iko juu kuliko yetu computer mpka primary wakati TZ hata ukienda University kutumia computer ni taabu, barabara zao huambiwi kuwa ni za kisasa unaona tu. Sasa...
  14. N

    Congress tells Obama to sanction Tanzania and Tuvalu for helping Iran

    Tujisikitikie kwa kuwa na viongozi vipofu. Hii ni hatari kwetu nafuu kunywea maana hatuangalii ya MCC tu lakini yako mengi ambayo US wakifreeze sote "tutakunya"
  15. N

    Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

    USINI ndiyo bottom line
  16. N

    Botswana:Wageni waanza kufungasha virago

    Tunawachukua kama wasaliti kwani mlikimbia kujenga nchi yenu kutaka fedha kirahisi. Kumbukeni hata sisi tunazo elimu kama zenu lakini we decided to serve our motherland regardless of the situation that prevailed! Tanzania ni mama yetu hata kama ni mchawi ndiye mzazi hatuwezi kumkimbia. Home is...
  17. N

    Deo Fulikunjombe aomba mwongozo kukomesha tabia ya kufuja muda

    Tumetoka mbali lakini hii tabia ya Wabunge has wa CCM kupoteza muda wa thamani ambao sisi wapiga kura tumeulipia haitabadilika mpaka Wana CCM wenyewe wakubali kuwa sasa hatuna muda wa kupoteza na tunataka hoja zenye nguvu za kuleta maendeleo. Hii imejikita pia hata katika lugha nyingi ndani ya...
  18. N

    Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

    Kwani weye unadhani anakupenda mpaka ufanye naye ngono tu? Sijui weye ni dini gani lakini amri ya 7 inasema usizini. Kama anajiamini ni bikra subiri mwoane!
  19. N

    Dr. Stephen Ulimboka alivyopokelewa Dar akitokea Afrika Kusini

    Sina hakika kama usalama wake umehakikishwa aau tutamwacha awe KOLIMBAD
  20. N

    Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Kama anafiiri anaweza kuchezea nguvu ya umma basi tutaona!
Back
Top Bottom