Search results

  1. Ngonidema

    Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

    🤣🤣🤣🤣
  2. Ngonidema

    Harmonize kabadili dini kisa Kajala

    Mzee baba haya mambo ya mapenzi ni yakuyaacha, ukute kuna mtu mwingine akimuona demu wako anakushangaa unawezaje kuishi na mwanamke kama huyoalivyo mchafu, wakat wewe unamuona freh kabsa
  3. Ngonidema

    SUGU adai yeye ndiye muasisi wa Bongofleva

    Wewe mtoto sana hujui
  4. Ngonidema

    SUGU adai yeye ndiye muasisi wa Bongofleva

    Hakuna ubishi  Sugu ndiyo muasisi wa bongo fleva , ametokanayo mbali sana aisee, ni wakati sasa wa kupewa heshima yake
  5. Ngonidema

    Wataalam wakutana kupitia Wimbo wa Taifa

    Hawa nikama wale wapima samaki wamwendazake
  6. Ngonidema

    Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Iz mambo za ajabu sana mchana royal tuwa, usiku kikao cha dharula kazi ipo
  7. Ngonidema

    Royal Tour DSM imekatwa kipande muhimu tofauti na iliyoko Kimataifa mitandaoni

    Nasikia b7, Acha tuendelee kupigwa, ila tunaumizwa sana b7
  8. Ngonidema

    Rais Samia: Nilikuwa Tour Guider kwenye movie ya Royal Tour

    Kuna watu walimshabikia mwendazake kwa mbwebwe nyingiii, hawakuyaona madhaifa au upotoshaji wowote zama zile, sasa na nyie za kuupiga mwingi huku bibi zenu na ndugu zenu wanakunywa uji wa chimvi vijijini kwenu uko
  9. Ngonidema

    Rais wa Marekani, Joe Biden atangaza kutoa silaha za dola milioni 150 kwa Ukraine

    Aisee hii lazima tukubali mwenye nguvua za kiuchuni ndiyo atakae shinda vita
  10. Ngonidema

    Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

    Ufupi siyo shida mkuu sema wewe upendi wanawake wafupi, Lulu ni mzuri sana, kiukweli Majizo anakafaidi sana kale katoto
  11. Ngonidema

    Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

    😂😂😂😂😂
  12. Ngonidema

    Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  13. Ngonidema

    Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

    Siko kwa mwendazake mimi na siutaki uongoz wa mwendazake hata kidogo, lakini siwezi kumsifia mama kwa kupandisha tozo za simu ambazo zimeleta maumivu kwa watu wa chini, so kwa kwahiyo uchumi ukiaribika duniani nawewe unakaa kimya watu wako waendelee kuumia bila kuchukua hatua yoyote yakunusuru...
  14. Ngonidema

    Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

    Tatizo la watanzania, wakiwa na uwakika wa kushiba hawawafikirii wengine angejua huyo mama asivopendwa asingeleta huo uzi
Back
Top Bottom