Search results

  1. O

    CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

    Lizabon Habari ndiyo hiyo siyo swala la wivu ni utaratibu na vigezo na masharti wanaotakiwa ni 450 tu. na si kwamba wanaozidi wote ndiyo guarantee ya kuwapata wapiga kura la hasha
  2. O

    CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

    Wapendwa wanaJamvi, Natumaini chama cha CCM, kitazingatia idadi ya wadhaminiiliyowekwa kwa kila mkoa kwamba ni wadhamini 30 tu na kwa mikoa 15 inafanya wadhamini kuwa 450. Maana naona Wanaowania Kuingia Ikulu, wanajifurahisha na kujiridhisha na kututangazia idadi kubwa ya wadhamini waliowapata...
  3. O

    Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    tunapima jeshi letu kwa kulinganisha na nchi gani jamani, wenzetu hawaonyeshi zana zaonza kijeshi kiasi hiki huu c ulimbukeni, wanajeshinwetu wenyewe wanavitambi
  4. O

    Propaganda za CCM "Serikali tatu ni kuvunja muungano" zathibitika.

    uongo wa kutunga ni mzuri kuliko uongo wa kutungiwa naona balozi huyo kasimama kama kashtushwa na kubutwaa na mananihii yanatoka kwa nyuma hahaha
  5. O

    Gari la Serikali (linalotumiwa na Sumaye) labambwa na Meno ya Tembo!

    dih kazi ipo inchi hii inajengwa na wenye moyo na inaliwa na wenye meno
  6. O

    Tamko la CHADEMA mkoa wa Geita kuhusu Zitto kuvuliwa uongozi

    NI WALEWALE MLIOTUMWA YAANI WEWE UMEJIUNGA JAMII FORUMS TAREHE 15-11-2013 NA LEO UJE NA HOJA KAMA HIZI SI MTU WA KUTUMWA WEWE????? HAHAHAHA KAZI MNAYO VIBARAKA WA MAGAMBA NIMEONA MNABADILISHA SANA ID ZENU KUNA MTU AMEJIUNGA TAREHE N15-11-2013 LAKINI ANAHOJA LUKUZI ZA KUTAKA KUICHAFUA CHADEMA...
  7. O

    CHADEMA Mbeya Mjini yamzuia kiongozi wa mkoa kujihusisha na CHADEMA na kugombea cheo chochote

    YAANI WEWE UMEJIUNGA JAMII FORUMS TAREHE 15-11-2013 NA LEO UJE NA HOJA KAMA HIZI SI MTU WA KUTUMWA WEWE????? HAHAHAHA KAZI MNAYO VIBARAKA WA MAGAMBA NIMEONA MNABADILISHA SANA ID ZENU KUNA MTU AMEJIUNGA TAREHE N15-11-2013 LAKINI ANAHOJA LUKUZI ZA KUTAKA KUICHAFUA CHADEMA MUANGALIENI WAJAMENI...
  8. O

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Rest in peace Dr mvungi
  9. O

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Very sad news rest in peace Dr mvungi
  10. O

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    ndungai hajui maana ya ---- you
  11. O

    Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    dah mechi kali ila mwisho wa siku tutaona nani zaidi
  12. O

    Mpambanaji Tundu Lisu Kuwasha Moto live Songea Bombambili

    Big up mkuu tunasubiri ripoti yako utujuze m4c kusini lazima kuwasha moto
  13. O

    Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

    Mwambie apunguze mawazo ni kweli unapokuwa kwenye stres za kifamilia sex performance. Na kama ana chuki na mke wake aache atafute upendo na kumpenda mkwewe. pia afanye mazoezi ya kutosha na kula vyakula vyenye vitamin e vinavyoongeza sperms production kamj vile karanga, korosho, atumie pia asali...
  14. O

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Wanalala chini japo wamo ndani ya vigorofa. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hahahaha
  15. O

    Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

    Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini sijui ndivyo alivyo yaani hata majirani...
  16. O

    Natafuta mwanamke wa ku - share naye experience za mapenzi

    Ni kweli hakunaga darasa la mapenzi na experience ya penzi inatofautiana, mimi nataka kuaccumulate love experience so i welcome women to enjoy luv with me and share the experience. Ni muhimu huyo mwanamke akawa na boyfriend au husband Wenye frustration za kimapenzi wataenjoy zaidi u can email...
  17. O

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Hahahahahahahahaha anawaza kutumia masaburi (makalio)
  18. O

    Kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ya Bunge yailipua serikali tena

    "tanzania inajengwa na wenye moyo na inaliwa na wenye meno"
  19. O

    Kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ya Bunge yailipua serikali tena

    Msomali huyu kinana ataipendaje nchi yetu? lazima aibage tuuuuu. TAFAKARI CHUKUA HATUA
Back
Top Bottom