Search results

  1. K

    Hivi siku Gerson Msigwa akifutwa kazi itakuwaje?

    Gerson kwa umri wake anaweza kuondolewa kwenye nafasi tu sio kufutwa kazi. Tayari ana Cheque Na. ya Hazina.
  2. K

    Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  3. K

    Musukuma: Mchele Mwanza kilo Sh. 3,800 halafu Waziri Mwigulu anasema tusijadili Inflation tujadili Uganga, ameniudhi sana!

    Hiki alichokifanya Mwigulu ni muendelezo wa dharau dhidi ya raia. Alianza na kututaka tuhamie Burundi, leo anasema, Hatujui uchumi tujadili uganga.. Hii ni shibe. Na inakuja kwasababu tumekubali kuwa mazuzu.
  4. K

    Mhitimu wa Chuo Kikuu afungua kesi dhidi ya Bodi ya mikopo akidai tozo zinachelewesha maendeleo ya Wahitimu

    Hii ni moja ya kesi hewa kuwahi kufunguliwa Duniani. Serikali kufadhili elimu ni uamuzi wa kisera hauwezi kuhojiwa na kubatilishwa na sheria.
  5. K

    Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Leo katika mahojiano yake na Shirika la Utangazaji BBC yaliyorushwa katika kipindi maalum cha Dira ya Dunia, Mhe. Rais SSH amezungumzia umuhimu wa kukutana na wapinzania. Hata hivyo kipekee Rais ameeleza kuwa kwa muda amekuwa akisita kukutana na vyama hivyo kutokana na kuwa viko vipande...
  6. K

    Dkt. Ndugulile: Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi inakuja

    Hakuna wakati vyombo vya Dola kama TISS na TCRA vitaacha kudukua mawasiliano ya watu. Hii sio Banana Republic.
  7. K

    Hivi Mawaziri hawastaafu?

    Mtela Mwampamba aliyekuwa DAS wa Kisarawe kastaafu lini?
  8. K

    Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

    Hili tangazo la Tigo 'Cha Asubuhi' linadhihirisha mmomonyoko wa maadili. Serikali ya Rais Samia ilione na kulikemea haraka sana. Tusirasimishe lugha za matusi. Kama serikali ilipiga marufuku matangazo ya Fataki, wimbo Magendaheka kwanini tuendelee kusikia hili tangazo la hovyo? Say No #ChaAsubuhi.
  9. K

    Hivi Mawaziri hawastaafu?

    Waziri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa wilaya, DAS na RAS hawa hawastaafu. Huondolewa kwenye nafasi zao!
  10. K

    Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

    Wenye michezo yenu mnajijua..
  11. K

    Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

    Kama mtakavyopukutika kina nyie mnaojifanya malaika.
  12. K

    Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

    Acha mbinja. Jibuni hoja. Huyu kilema hana jipya.
  13. K

    Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

    Kaamua kujitekenya. Hivi hii nayo ni agenda ya kumrudisha kwenye ramani, anatia kinyaa!
  14. K

    Yu wapi kachero mbobezi Bernad Membe?

    Yuko Londo anafanya uenezi wa ACT-Wazalendo.
  15. K

    CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

    Baada ya ruzuku kukosekana, Kamanda Mbowe kabuni mradi wa kuuza t-shirt nchi nzima. Kwa wazo hili sasa hivi atampiku Fred Vunja Bei.
  16. K

    Rais Samia kuongea na vijana wa Tanzania akiwa Mwanza

    Hili igizo halijaandaliwa vyema. Mama anazungumza na makundi ya CCM yaliyovalishwa nguo za kiraia. Mfano huko Dodoma leo mama kazungumza na UWT.
  17. K

    Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

    Kana uteuzi kimaandishi sio kupitia press ambayo mtu anaweza kwambia sijaisikia...
  18. K

    Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

    Bunge haliwezi kuendeshwa kwa hearsay...
Back
Top Bottom