Search results

  1. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Few games to go...Come on United!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu Belo nipo sema mambo yalibana yakawa mengine yanapishana basi yote tunasema ya duniani. Hope mpo salama waungwana wenzangu wa Man Utd....
  3. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni kweli kabisa mkubwa Manda...ila naona kama kuna kimbembe Jmosi Ijayo hapo na Chelski ingawa ni game ya nyumbani inanipa matumaini kidogo maana atakashinda hapo obviously ndio atakuwa Bingwa Lets hope and pray wapigwe 3 kama Arsenal
  4. Kuntakinte

    Wananchi wafunga barabara Segera!

    kwani jamani kisheria hilo eneo ni nani ambaye ana hati ya kumiliki ukiachilia serikali...nani mwenye hati kati ya walalahoi na huyo mfanyabiashara? Nafikiri tukitambua hili hatutatumia sana nguvu kwenye kuhoji
  5. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wasitoke nduki mchezo maana kila wakituombe njaaa basi kwetu inakuwa mavuno ha ha ha
  6. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sorry kwa kuingilia ila as a Man Utd fan nipo responsible kujibu, sasa mkuu MTM ina maana sikuhizi nguvu na uwezo wa refa haupo tena au ndio kusema mwamuzi wa mwisho wa mechi za soccer siku hizi ni mashabiki wasioipenda Man Utd Sasa hivi najua wengi mnalialia sana Man Utd akishinda, angefungwa...
  7. Kuntakinte

    Mohamed Mpakanjia is no more!

    R.i.p mpakanjia
  8. Kuntakinte

    Abromovich wa Chelsea atua nchini kupanda Kilimanjaro!

    Wakuu heshima mbele Hivi kweli utalii wa Tanzania tunatumiaje ujio wa Tajiri Abramovich kufaidika katika kujitangaza kwenye soko la utalii duniani!!!!!!! Hivi kweli tutashindwa kweli hata kusema sasa basi kwamba Kilimanjaro ipo Tanzania na sio Kenya kwa ushahidi wa tajiri huyu kutua ndani ya...
  9. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    kalikataa kwa sababu lilikuwa gori (off-side)
  10. Kuntakinte

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    thats why Mkuu Masanilo wewe hukuwa refari.....Arsenal kweli jana walipoteana kumbe aipokuwepo Fabregas pale kati mnakuwa kama Majimaji ya songea
  11. Kuntakinte

    Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

    Mama Mia kumbe na wee huvumi lakini umo...hahaha....mpira dakika 90
  12. Kuntakinte

    Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

    Eduardo is a sky diver nimeona hata kwenye game na celtic..he's very gud
  13. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Da mkuu nashukuru sana maana leo nilibanwa nimeshindwa hata kufuatilia makundi yanakwendaje
  14. Kuntakinte

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Mkuu FMES nafikiri hapo kwenye red colour ndio msumari wa mwisho wa jeneza na hapa sasa ndio naanza kuamini kwamba 2010 ndio mwaka wetu wananchi wa Mapinduzi ndani ya Tanzania. Kazi imeanza sasa na alama za nyakati sasa zinasomeka vizuri. Msemo; "Kama huna meno kwanini ung'ang'anie fundo la...
  15. Kuntakinte

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Kabisaaaaa, na nasema KIBANDA NI MPUUUZI SANA ndio nimesema MPUUZI na wala sikutegemea mtu mwenye ujuzi na uzoefu wa kazi yake kuwa biased hivi. Ila kwa kweli lazima tukubali sisi wananchi bado ni wanafki sana na tunadanganyika sana na vijisenti vidogo vidogo bila hata kuangalia atahri zake...
  16. Kuntakinte

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Mkuu heshima mbele sanaa na ninakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa na naheshimu sana mtazamo wako katika hili ingawa kuna baadhi ya vitu sikubaliani navyo hasa hapo kwenye hizo bold Kuhusu Kikwete kuwa sehemu ya tatizo nafikiri lazima utakubaliana na mimi ya kwamba bila ya Kikwete CCM ilikuwa...
  17. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkubwa kiukweli hela ndio msema kweli kwa maana mwenye kisu ndie mla nyama. Ila issue ya Anderson na mimi nafikiri nitakuwa mmoja wapo kati ya watu ambao tutasononeka sana kwa kuondoka kwake..he's a gud midfielder
  18. Kuntakinte

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    haha..Aston Villa wamechoshwa na uteja maana tokea wameanza ligi wamekuwa wakikwama kwama sasa leo nafikiri wameweka gear ya matope
  19. Kuntakinte

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Damnnnnnnnnnnnnn! that was 100th goal for Roooooooooooney
  20. Kuntakinte

    Rostam aanza kutikiswa

    BADO NAENDELEA KUSEMA CCM INAOKOLEKA KWA SASA huu ndio mwanzo na bado cha msingi ni fikra na mapinduzi ndani ya mioyo yetu. Rostam ni binadamu kama wengine na anaweza kushindwa vile vile sababu yeye si Mungu. Hongera Mtambalike kwa kuimarisha mapambano dhidi ya vita hii tuliyopo.
Back
Top Bottom