Search results

  1. P

    TANZIA.mama timmy apata msiba mzito

    Leo alfajiri mama timmy jf member amepata pigo kubwa jumpiteza banal mkwe wake.bwana ametoa na bwana ametwaa R. I. P babu Kweka.
  2. P

    Kamanda ngoboko is no more

    Habari za kuaminika RPC mkoa wa kilimanjaro amefariki asubuhi ya leo KCMC!RIP kamanda
  3. P

    TP MAZEMBE Vs SIMBA KITUO GANI CHA TV KINARUSHA LIVE?

    Heshima mbele wakuu.naomba kujuzwa ni station gani ya tv inarusha live hili tukio na muda plse ili sie wa mikoani tuweze shuhudia.nawatakia jumapili njema
  4. P

    Elections 2010 Chadema yawashukuru wana wa moshi

    Jumapili ya tarehe 5 dec 2010 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wana wa moshi baada ya mh mbuge wa moshi mjini na madiwani wake kuandaa party ya shukrani kwa kila kata.ilikuwa imetulia sana.source me mwenyewe!
  5. P

    Wajawazito

    Real inanipa wakati mgumu kuona wamama wajawazito wanakufa ktk hosp kubwa wakati wakujifungua.sijui wenzangu mnalo la kuchangia ili kupunguza hili tatizo?
  6. P

    Hello

    Nawasalimu wana jamii me ni mgeni wenu naomba mnipokee tupeane mawazo ya kulijenga taifa letu.
Back
Top Bottom