Search results

  1. P

    Davis Mosha aahidi kutimiza ahadi alizotoa wakati akigombea Ubunge Moshi Mjini

    Kweli wewe ni funza,Devis hata angefanya nini asingeshinda moshi mjini!! Alijidanganya ana pesa tukamwambia aje tuu lakini ataondoka kapa!! Hajaibiwa kura hata moja!!hata hizo alizopata wengine tunajiuliza alipataje maana watu wa moshi mjini wapo makini!! Na kama ni rafiki yako mshauri aache...
  2. P

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Alikua mwenyewe kwenye gari??poleni sana familia ya marehemu na makamanda wote
  3. P

    Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Kuna watu walitaka waambiwe wanapewa milioni hamsini kila kikundi cha vikoba!!! Matatizo ya WANAWAKE yatamalizwa na WANAWAKE wenyewe!! Lowasa yupo sahihi kabisa, mtafutieni kura halafu mtakuja kukaa chini na kutoa mapendekezo yao nini kifanyike kutatua changamoto hizo!!!
  4. P

    Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Devis utajuta kuja moshi mjini, umewashinda mwenzio kwa ujanja sasa tukutane Oct 25 tukuonyeshe kazi
  5. P

    Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Devis kazaliwa na kukulia kiborolini,ila kupata ubunge moshi mjini labda kwenye ndoto!! Mtu gani hajui hata sheria za eneo husika!! Kura za maoni tuu katuchafulia mji na vipeperushi!! Devis tukutane Oct 25
  6. P

    Mke wangu hataki wageni

    Unaposema mkeo hapendi wageni unatumia kigezo hicho cha kukataa mjamzito? Au huwa unakataa na wengine?? Usimlazimishie majukumu yasiyomuhusu!! Kama unataka kumridhisha mshikaji wako pangishia hao wageni gest karibu na Hosp!! Ila ujue jukumu unalotaka kujibebesha ni kubwa sana!! Kwenye kujifungua...
  7. P

    Niko kwenye Jeshi la akiba la wanajeshi wa Tanzania, Utaninyimaje haki ya uraia EX-POLICE wako?

    He he we jamaa upo? Ulikua magereza?hebu tuambie magereza za UK zinafananaje? Long time mzee hujasomeka!
  8. P

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Tuzo zimepooza utafikiri nchi ipo vitani
  9. P

    Faida inayopatikana baada ya nesi kumpiga makofi mama mjamzito

    Nesi kupiga mama kibao hairuhusiwi kabisa, ila kuna wakati inabidi kuchapa kibao na kukoromea sana, haiongezi uchungu ila inaongeza usikivu na mtulivu kwa mama mwenye maumivu mpaka anakua kama kachanganyikiwa! Mfano unakuta njia imefunguka vizuri, Mtoto ameshuka vizuri na tayari sehemu ya kichwa...
  10. P

    Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Pole sana mpendwa
  11. P

    Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Huwa wanakua na hizo hali za kutaka au kukataa kitu flani, ila hawana jinsi ya kuelezea! Waliowapa ujauzito wamepepea! Asumbue matron au mwajiri wake hajipendi?
  12. P

    Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    mara nyingi ni mabadiliko ya mwili! Na mama anateseka kweli!haaa mimba ikiwa ndogo! Wengine ikifika miezi minne na kuendelea anaweza kuvumilia ila wengine hawawezi! Jitahidi kupeleka anachopenda as long una uwezo nacho!
  13. P

    Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Pole sana mpendwa! Unapita shida nyingiii mwisho wa siku unabaki mikono mitupu! Naelewa maumivu yako yalishanikuta pia!
  14. P

    Namuonea huruma mtoto huyu

    Huwa inatokea sana,muhimu mama ale vizuri na anaweza kuendelea kunyonyesha mpaka ujauzito ufike miezi saba ili kuacha nafasi ya maziwa ya mwanzoni yenye kinga kutengenezwa kwa ajili ya Mtoto mpya!Baba atoe ushirikiano wa kutosha kulea Mtoto maana mama anaweza kuchoka na kushindwa!kila la kheri kwao
  15. P

    SMS ya siri kwa Rais Kikwete yavuja, mtumaji asimamishwa kazi

    kuhusu uongozi wa juu kwamba wametokea wapi sidhani kama linahusiana na malalamiko ya ukabila! Nachosema ni kwamba sijawahi kutendwa vibaya sababu ya nilipotokea! Kuhusu KKT siwezi kuwasemea mimi siabudu huko! Nasisitiza waliotendwa kwa sababu ya ukabila waje na ushahidi sio kuongea tuu! Tuhuma...
  16. P

    SMS ya siri kwa Rais Kikwete yavuja, mtumaji asimamishwa kazi

    Nimemkatalia kwa sababu mimi sio mmachame, sijawahi kutendwa tofauti wala kusikia mtu katendwa vibaya kisa sio mchaga! Kuhusu kupandishwa madaraja hiyo ni tatizo, nipo hapa mwaka wa saba sasa, so kama kuna ushahidi wa ukabila mtu anao siwezi kujua!
  17. P

    SMS ya siri kwa Rais Kikwete yavuja, mtumaji asimamishwa kazi

    Kuhusu ukabila nakataa kwa nguvu zote!
  18. P

    Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

    pia akumbuke wapo wanawake hawapati mapema dalili za mwanzo za mimba na wapo wasiopata kabisa dalili wanashtuka tuu mtoto anacheza wakienda kuuliza ndo wanaambiwa ni mimba
Back
Top Bottom