Search results

  1. lemayan92

    Serikali ilikua sahihi kuhamisha Wamaasai

    "madai ya vurugu na ukatili ulikua ni uvumi" dah! Kweli njaa ni mbaya sana. OP tafuta kazi ufanye
  2. lemayan92

    Naweza kupata wapi hivi vitabu?

    ~ Ulysses by James Joyce. ~ Beyond Good and Evil by Friedrich Nietzsche. ~ Brother Karamazov by Dostoevsky. ~ Crime and Punishment by Dostoevsky. ~ One hindered years of solitude by Gabriel Garcia. ~ Gone with the Wind by Margaret Mitchell. ~ War and Peace by Leo Tolstoy ~ Anna Karenina by Leo...
  3. lemayan92

    Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania hadi wanamichezo

    Mkuu raisi wetu bado sana. Yupo kama hayupo. Anyway, huwezi mlaumu, kazi ilikua si yake, so wenye kazi wanamsadia kufanya...
  4. lemayan92

    Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

    Huna lolote. Wewe ni wale wale wajinga. Tafuta kazi ufanye.... Acha kukesha kwenye social network kuangalia pumba
  5. lemayan92

    INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Mkuu natamani sana kujua bei.... Alafu kingine, naomba kuuliza swali la kijinga kama maswali mengine, je, hiyo technology ya kuchuja ni tofauti na reverse osmosis?
  6. lemayan92

    Mdogo wangu ametapeliwa, nahisi kuchanganyikiwa, nahisi kufilisika

    Naamini umejaribu kufanya utaratibu wa kurudisha fedha mfano kuwasiliana na watoa huduma kwa wateja, n.k lakini imeshindikana. Anyway, usisahau kuripoti polisi, pengine nao wanaweza wakafanya chochote kitu kukusaidia. Ila jambo la msingi, usife moyo. Kwasababu ukifa moyo na kurudi nyuma, basi...
  7. lemayan92

    Plank: Unaweza himili kwa muda gani?

    Basi nipo kwenye kiwango sahihi
  8. lemayan92

    Plank: Unaweza himili kwa muda gani?

    Dakika mbili
  9. lemayan92

    Wenye ugonjwa wa(GERD )Gastoesofphagas reflux deases naomba tukitane Happ tujadiliane tafadhali.

    Kuna aina za dawa zinajulikana kama PPI mfano omeprazole, lansoprazole, pantoprazole, rabeprazole au zinginezo, ushawai tumia hizo? Zinasaidia sana kama unatumia kwa muda unaotakiwa. Pia hazina madhara kwa matumizi ya muda mrefu (kwa ninavyofahamu). Tumia aina ya vyakula ambavyo havina acid (au...
  10. lemayan92

    Bayern Munich special thread

    Bayern tumerudia mpira wetu wa msimu 2012/2013
  11. lemayan92

    Wale tuliokutana na adhabu toka kwa wanajeshi tuambie ilikuwaje

    Hahahaha you made my day.... Aise nimecheka sana nikijua kabisa umedanganya
  12. lemayan92

    Apple yazindua simu tatu. iPhone X, iPhone 8 na iPhone 8 Plus. Zifahamu simu hizo kiundani hapa

    Naona iPhone wamefanya ujinga tena. Kuna ripoti kila kona kuwa betri ya hizi simu zina vimba... Kuna raia humu niliwaeleza kuwa iPhone ni overrated wakanitukana. Watu wengi ni wafuata mkumbo ndo maana wanaitamani.
  13. lemayan92

    Kipi huchukua muda mrefu katika kutengeneza mahusiano/kuvunja mahusiano?

    Kuyavunja mahusiano technically yanachukua muda mrefu, unless umefumaniwa tit for tat na house girl bila wife kutarajia
  14. lemayan92

    Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Ujawai enda kozi yoyote ya lugha za kigeni afu unazichapa sawasawa! Unless umeishi hizo nchi zote tano
  15. lemayan92

    Apple yazindua simu tatu. iPhone X, iPhone 8 na iPhone 8 Plus. Zifahamu simu hizo kiundani hapa

    Kweli Putin alikuwa sahihi:"It's better not to argue with a woman"
Back
Top Bottom