Search results

  1. G

    Dishi la Kisimbusi cha Continental Chapewa Mwelekeo Mpya

    Habari njema kwako mteja wa kisimbusi cha Continental unayetumia dish sasa marekebisho ya mitambo yetu yamekamilika. Tupate kwenye Satelite ya Azerspace 2 45E Freq 11637 SR 30,000, Mod8PSK , FEC 3/4 , Pol V. Wasiliana na fundi aliye karibu nawe kupata msaada wa kuhamisha dishi lako. Asante...
  2. G

    Tamko la Visimbusi Bungeni Kitendawili

    Wakijibu swali la ziada bungeni la Bi. Mollel, kwa nini mteja wa kisimbusi akiwa hana kifurushi anakosa kuona tv za kitaifa, wamesema ni kwa vile wenye visimbusi hawajalipwa tozo zao na wenye tv za kitaifa. Hilo ni jibu la hadithi za 'karumekenge'. Kweli kila idara na wajuvi wao. Kifupi...
  3. G

    Vodafone yatoa Kilango kipya kwa sim zote

    :moony: https://www.vodafone.in/documents/pdfs/VF_K3570_New_Dialler.zip :wink1: Hakutakuwa na kuchakachuwa; Ondoa vilango vilivyopita kisha weka kilango hiki. :A S-rap:
  4. G

    Vodafone K-3565-Z bila Connection Manager inawezekana.

    Inawezekana pitio la mjadala uliopita ukawakanganya watumiaji wa kawaida, likabaki kuwa la akina DrPhone, Calvin Power na wenzao waliobobea kwenye nyanya hizi. Ifahamike Vodafone Mobile Connect inatabia ya kuchukua taarifa zetu muhimu kama tulivyokubali wakati wa kuisimika, ila tunautashi wa...
  5. G

    Vodafone K-3565-Z IMEWEZESHWA SIMCARD ZOTE

    Rejea mijadala na marumbano inayo husiana na kifaa hiki cha ZTE chenye nembo ya kibiashara ya Vodafone kwamawasiliano ya mfumo wa GSM. Zimeainishwa njia kuu mbalimbali, zote zikianisha kuondolewa kwa kikwazo cha kivuli kilichosimikwa ndani ya kifaa kinachoendesha uteja wa mawasiliano...
Back
Top Bottom