Search results

  1. nao

    Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

    Yaweza kua mke Wa jamaa ni miaka 17 au 18 hata 19 hivyo anafeel ni age mate wake tu labda
  2. nao

    Kama ulikubali na unakubali siasa za Hayati Magufuli hupaswi kuukosoa mkataba wa Bandari

    Dunia ya ajabu kweli!!! Aliyegawa Bandari yupo alaumiwe aliyekwenda zake kweli????
  3. nao

    Baada ya bandari kubinafisishwa kwa miaka 100, ninamuomba radhi chifu Mangungo

    [emoji1787][emoji1787]sio pemba mkuu ni Unguja
  4. nao

    Ni balaa dada wa kazi anavunja ndoa yangu

    nimeshangazwa sana jamani.
  5. nao

    Nafikiria kuachana na mke wangu

    huo ndo ukweli tukiamua kusema ya nyuma ya pazia ila pia umri wa miaka 20-29 huwa una mambo sana yakujiona bado nalipa,[emoji2]kuna maneno mengine huyu jamaa awe mpuuziaji yatokayo kwa mwanamke otherwise ataoa sana.
  6. nao

    Nafikiria kuachana na mke wangu

    Uko sahihi kabisa
  7. nao

    Tulio kwenye Ndoa Mungu atuepushie. Msiba huu umenihuzunisha sana!

    Watu ifike mahala tujifunze kucontrol nyege aisee ona sasa.
  8. nao

    Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

    Mkuu endelea nae usipate tabu mwaya
  9. nao

    Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu mwanaume mwenzenu inabidi mmwelewe tu maana alishatoa msimamo wake yeye haachani na mama J . Yaani kwa herufi kubwa haachwi mtu hivyo sisi tumeshamwelewa na tumebaki ndugu watazamaji tu.
  10. nao

    Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu mama J kanichekesha sana eti nesi malaya anatembea na waume za watu sijui yeye mama J, D ni mmewe!!!!??? Kwanza hawa ni marafiki Ina maana kuna vitu wanaendana.
  11. nao

    Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

    Sasa alale njaa anamkomoa nani!!!????? Basi unakazi sana.
  12. nao

    Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

    Sidhani kama ni kweli, alikupiga kamba tu
  13. nao

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    fanya maombi ya toba ni PM ukiwa serious ufanye mahusiano yako vizuri na MUNGU hakika Mungu si kiziwi atarejesha kibali.
  14. nao

    Kitabu cha kumsifu Hayati Magufuli cha Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole, ndiyo maana akahamishiwa Cuba

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa Kuongezea sauti kabisa tena alikua mwamba kweli kweli.
  15. nao

    Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

    [emoji23] [emoji23] Ila mama unapenda ligi duu!!
  16. nao

    Mama hamtaki Mpenzi wangu

    Mimi nafikiri sababu lukuki atowazo mamako ni vile hajamkubali mkwee anajaribu kukuvunja moyo ili uachane na jamaa na maana anajaza sababu nyingi, Ila sababu ya msingi niliyoona hapo kwenye bangi best sio rahisi mzazi kukubali binti yake aolewe na mvuta bangi au hiyo ya uvaaji ukute suruali hadi...
  17. nao

    Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    Nimejifunza humu mko tofauti aisee
  18. nao

    Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    Basi kaa kwa kutulia sasa
Back
Top Bottom