Search results

  1. Dr. Ngwazi

    Serikali Yaionya Yanga. Yamtaka Yusuf Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

    Wewe umepitwa na wakati kweli, watu wanapanda mwendo kasi, wewe unang'ang'ania GUTA tena cycling GUTA na sio motor GUTA
  2. Dr. Ngwazi

    Serikali Yaionya Yanga. Yamtaka Yusuf Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

    Hii nimeipenda, haya Waziri hili unalisemeaje? Tena wakati profesa anajuzulu CUF ulikuwa waziri wa sheria na katiba, hebu tupe ufafanuzi utofauti wa katiba hizi mbili, ya CUF na ya Yanga mwenyekiti anapojiuzulu kwa barua, ni nani anayetakiwa kuthibitisha au kukataa kujiuzulu kwake. Acheni...
  3. Dr. Ngwazi

    Serikali Yaionya Yanga. Yamtaka Yusuf Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

    Yanga ina katiba yake, na ili jambo hili la uchaguzi likamilike, lazima katiba ya Yanga ifuatwe, tuache mihemuko ya wanasiasa, kwenye CUF wapo kimya mpaka leo, lakini kwenye Yanga wanatoa povu. Yanga ina washabiki wengi kushinda CUF na Yanga ipo kabla ya hata huyo mtoa povu wa serikali
  4. Dr. Ngwazi

    Maprofesa walioalikwa TBC leo asubuhi mlikuja kumsifu Magufuli tu au?

    Na mimi nakuuliza, ni professor yupi aliyepewa U DC baada ya kustaafu
  5. Dr. Ngwazi

    KKKT, Kanisa Katoliki, tuungane kwenye mchakato mkubwa wa 2020,waraka wa serikali una mkono wa Pengo

    Hapana mkuu, we are going beyond, na watu wa dini hawataki kuheshimu mamlaka zilizowekwa duniani kwasababu wanahubiri dini, wanadhani wao wako karibu na mungu wakati hata wao ni binadamu wa kawaida tu. Tujifunze kueneza yaliyo sahihi, makelele na mapambio hayawezi kutukutanisha na mungu na...
  6. Dr. Ngwazi

    Serikali: Waraka ulioandikwa kwenda Kanisa la Kilutheri (KKKT) ni batili; Msajili wa vyama Wizarani asimamishwa kazi

    Hakuna moto pale. Juzi nilicomment mashaka yangu na uandishi wa barua ile. Lakini kwa mtu yeyote anayefuatilia uandikaji wa barua za serikali, uandishi ule ulikuwa na kasoro nyingi. Tatizo la Kwanza, barua kumng'ang'ania mtu mmoja badala ya tasisi, Pili, barua kuunganisha na madeni wakati...
  7. Dr. Ngwazi

    KKKT, Kanisa Katoliki, tuungane kwenye mchakato mkubwa wa 2020,waraka wa serikali una mkono wa Pengo

    Tatizo hapa ni kuabudu jina la binadamu "Martin Luther" sio kuabudu jina la mungu aliyewaumba akina Martin pamoja na hao maaskofu wa hapa duniani
  8. Dr. Ngwazi

    Naibu Spika amzuia Waziri Mkuu Majaliwa kujibu swali la barua ya KKKT

    Je, una uhakika kwamba barua iliyosambaa jana mitandaoni, imetoka serikalini?
  9. Dr. Ngwazi

    Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    Nina mashaka na uandishi wa hiyo barua, si ajabu ilikotoka ni mitaa ya kinondoni
  10. Dr. Ngwazi

    Zitto, acha kuokoteza habari kujipatia umaarufu wa bei nafuu! Wewe ni legendary!

    Wakati mwingine JF inatusaidia kujua wapimga kila kitu na watafuta cheep kick. Lakini ipo siku wataelewa maana baada ya maneno yao kwisha, vitabaki vitendo vya serikali ya JPM
  11. Dr. Ngwazi

    MOROGORO: Rais Magufuli akabidhi kitita cha TZS Milioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya shule ya sekondari Mang'ula

    Hiyo katoa mfukoni mwake, ni sawa Kama angaamua kujinunulia smartphone ya 5m, ingehitaji kazi ya budget! Au kwasababu katoa hadharani!<
  12. Dr. Ngwazi

    MOROGORO: Rais Magufuli akabidhi kitita cha TZS Milioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya shule ya sekondari Mang'ula

    Maigizo wakati rais anafanya kweli! Kaeni hivyohivyo nchi ndo inaenda hiyo. Chuki mchukieni lakini ukweli unabaki palepale haya anayoyafanya JPM ni mambo ya kupongeza sana. awamu zilizopita walikuwa wanagawana posho za safari za nje, bora huyu anayegawa kwenye shule wajenge vyoo
  13. Dr. Ngwazi

    Bashe ahojiwa BBC, apinga ujenzi wa Reli unaoipa kipaumbele Rwanda

    Msimamo, na mawazo hasi kwa viongozi yasiyo na tija kwa taifa
  14. Dr. Ngwazi

    Mlinga ampa kazi IGP kuhusu kina Mange

    You are not wise at all kwa jinsi unavyoingiza hata matusi katika kuchangia. Jaribu kuwa mstaarabu japo hata kidogo sidhani Kama matusi huwa yanaongeza uzito wa point. Asante.
  15. Dr. Ngwazi

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Pata nafasi ya kuisoma katiba ili upate kuvijua vifungu sitaki kukusomesha katiba mafungu mafungu
  16. Dr. Ngwazi

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Inaonekana umekuja kupost bila ya hata kujua alisema nini kabla hajatangaza Dodoma kuwa jiji. Alisema hivi, namnukuu "Kwa mujibu wa mamlaka niliyonayo kikatiba natangaza, kuanzia leo, Dodoma ni jiji" mwisho wa kunukuu. Lakini pamoja mamlaka aliyonayo, Dodoma ilitimiza vigezo vyote kuwa jiji
  17. Dr. Ngwazi

    Kwanini CCM iliwaacha wagombea bora ikatuletea Magufuli?

    Hiyo sio mada tofauti, sema imefifisha mada uliyoileta kiasi kwamba watakaochangia no wale walio na mitazamo kama yako
  18. Dr. Ngwazi

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Not only mchumba, she is most likely to be another prophet Tito
  19. Dr. Ngwazi

    Dalili za Serikali ya Rais Magufuli kuanza kupoteza mwelekeo

    Tatizo hapa sio kutaja mtu. Ume comment nini? katika uzi unaohusu nini. Period
  20. Dr. Ngwazi

    Dalili za Serikali ya Rais Magufuli kuanza kupoteza mwelekeo

    Matatizo tu, ndio unayojitakia, hakuna lingine
Back
Top Bottom